minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,309
- 22,319
Wafukuzwe kazi RPC OCD na Polisiccm wote walioshiriki kuwaua watu licha ya IGP kuwalinda ingawa na yeye yupo mbioni kufikishwa mahakama ya uhalifu ICC The HagueKama mifumo ya taasisi nyeti zote za nchi zimeingiliwa, basi hatupo salama hata kwa nchi shindani zetu. Dunia sasa hivi sehemu ya vita imekuwa sana kupitia ( cyber war ). Kama nchi itabidi kuangalia hili kwa umakini wa hali ya juu, maana ni rahisi sana kuua uchumi kupitia Cyber war