Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

• BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa
(Ikiwa watakataa kubali atatoa fundisho)
• Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO
• Amemuambia chairman wa DP world kuwa miamala yake ipo wazi
(Kampigia simu Leo na kuongea nae kwa simu)

• mifumo ya kifedha ( Gepg, tips , tiss ipo wazi)

• Kuna uwezekano desemba mishahara zisifanyike watazuia mifumo ya kifedha..

• mifumo ya fedha haipo Salama tena anatahadharisha desemba itakuwa mwezi mgumu sana miamala ya kifedha
Lengo ni ku paralysis government

Meeting point : Ofisi za UN

Kufatilia live hiyo ingia TikTok washa VPN andika neno summerclif00 ufatilie LIVE yake
Inasikitisha na kuchekesha kwa wakati mmoja
 
Huyu jamaa sjamsikia maana sina tiktok,lakin mnayoyasema kuhusu yeye hadi naogopa,sjui angekuwepo na pole pole ingekuwaje,idd amin dada angekonda
Huyu Habil anawachota tu nenda kasikilize ile simu aliyoongea na msaidizi wa Murilo utanotice kitu 😅😅

Hisia zangu zinanituma ni Mkenya kulingana na kiswahili chake na anajichanganyaga kwenye maelezo yake

Hilo la BOT alitoa deadline ambayo ilikuwa jana but hamna kitu hadi leo
 
Sio muda mrefu utaanza kuporomoshewa matusi mpaka utaanza kububujikwa na machozi
Huyu mtu ni muongomuongo basi tu binadamu hatulingani akili, sisi tunaona hamna kitu hapo, wengine wanaamini kila kitu…..
 
Huyu Habil anawachota tu nenda kasikilize ile simu aliyoongea na msaidizi wa Murilo utanotice kitu 😅😅

Hisia zangu zinanituma ni Mkenya kulingana na kiswahili chake na anajichanganyaga kwenye maelezo yake

Hilo la BOT alitoa deadline ambayo ilikuwa jana but hamna kitu hadi leo
Porojo porojo tu kama zile zile za Pole pole
 
Kuna vitu anakosea ila anajiandaa na sana taarifa zake.

Leo katoa wazo la kwenda UN, this is very strategic and can have significant impact.

Pia kama ni Asset ya usalama wa Nchi jirani basi wamejua jinsi ya deal vijana wa Tanzania na TISS imeshindwa kuliona tatizo la msingi.

Kuna mtu anaitwa summer huyu inaonekana ni very naive, na sio mjuzi wa mambo mengi.

Kingine leo katika mada zake ameonesha hajui tarehe 9 Dec ni siku ya mapumziko.
 
Huyu jamaa sjamsikia maana sina tiktok,lakin mnayoyasema kuhusu yeye hadi naogopa,sjui angekuwepo na pole pole ingekuwaje,idd amin dada angekonda
Jamaa yuko very calm anapoongea. Habishani, hapayuki, hapanic. Hata ikitokea mtu kwenye comment kamprovocal jamaa anampa elim kwa ustaarabu.. Jamaa kila kitu anachoongea ana data zake. In short ni mtu anaejua anachokifanya.
 
Kuna vitu anakosea ila anajiandaa na sana taarifa zake.

Leo katoa wazo la kwenda UN, this is very strategic and can have significant impact.

Pia kama ni Asset ya usalama wa Nchi jirani basi wamejua jinsi ya deal vijana wa Tanzania na TISS imeshindwa kuliona tatizo la msingi.

Kuna mtu anaitwa summer huyu inaonekana ni very naive, na sio mjuzi wa mambo mengi.

Kingine leo katika mada zake ameonesha hajui tarehe 9 Dec ni siku ya mapumziko.
Huyo summer nadhani hana elimu au sio mfatiliaji wa mambo yeye kazi yake ni kuhost Live

Kitu kingine ikiwa kama ni kweli anachozungumza kuhusu mifumo ya kibenk kuwa imechezewa basi ipo siku mwisho wa mwezi watu hawatalipwa mishahara
 
Hacking is illegal if you can hack into a bank huwezi kujitangaza.
So I think he is very good in information war
 
Una hack halafu hujitangazi maana yake huja hack na huwezi ku hack...
Wote wanaohack, wanajitangaza, kwanza ni kuharibu jina aidha taasisi au serikali kuwa wame kuhack kwa kuwa uko uchi kwenye ulinzi wa mfumo yako...
Kwa serikali inakuwa ni kicheko kwa maadui zake na kwa taasisi au kampuni mara nyingi ni kuhitaji kulipwa hela kwa wanawajulisha kabisa toa hela tufungue server zako....

Kwa hiyo huyu kilaza wa tiktok hana uwezo huo, ndio maana anatishia nyau, wanaohack huwa wanakamilisha ndio wanakwambia....

Kama wangekuwa hawajitangazi hawa wangejulikana vipi?
Lazarus group
Scattered Spiders
Anonymous
Fancy Bear
APT 29 Cozy Bear
Morpho
Evil Corp na wengine wengi....
 
Huyo summer nadhani hana elimu au sio mfatiliaji wa mambo yeye kazi yake ni kuhost Live

Kitu kingine ikiwa kama ni kweli anachozungumza kuhusu mifumo ya kibenk kuwa imechezewa basi ipo siku mwisho wa mwezi watu hawatalipwa mishahara
Jana alilala katikati ya live 🤣🤣🤣 anyways awe mkweli au tapeli, as long as anatufaa saivi couldn’t care less!
 
Back
Top Bottom