Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

Anachongumza HABIL kuelekea Desemba

Mnamsikiliza hyo habeli na lafudhi yake ya kigeni(kuijenga taswira ya mamluki wa mataifa ya inje na mnamuamini asemayo.

hamuoni tu huyo tapeli anatumika. Ni rahisi kuwaunganisha taifa kupitia adui wa inje wa kufikirika
 
Una hack halafu hujitangazi maana yake huja hack na huwezi ku hack...
Wote wanaohack, wanajitangaza, kwanza ni kuharibu jina aidha taasisi au serikali kuwa wame kuhack kwa kuwa uko uchi kwenye ulinzi wa mfumo yako...
Kwa serikali inakuwa ni kicheko kwa maadui zake na kwa taasisi au kampuni mara nyingi ni kuhitaji kulipwa hela kwa wanawajulisha kabisa toa hela tufungue server zako....

Kwa hiyo huyu kilaza wa tiktok hana uwezo huo, ndio maana anatishia nyau, wanaohack huwa wanakamilisha ndio wanakwambia....

Kama wangekuwa hawajitangazi hawa wangejulikana vipi?
Lazarus group
Scattered Spiders
Anonymous
Fancy Bear
APT 29 Cozy Bear
Morpho
Evil Corp na wengine wengi....
Mkuu umefunga mjadala. Huyo Habil anaeapata mabwege tu kama Mshana Jr
 
Mnamsikiliza hyo habeli na lafudhi yake ya kigeni(kuijenga taswira ya mamluki wa mataifa ya inje na mnamuamini asemayo.

hamuoni tu huyo tapeli anatumika. Ni rahisi kuwaunganisha taifa kupitia adui wa inje wa kufikirika
You have a point
 
Habil sio Mtanzania au ni mtu anayefatilia Jamiiforums na Internet sana, Ametoa very startegic Idea.

Watu wakutane UN, that is very strategic

Pia ni Masaki, so technically kaka yake Polepole alisema tukutane Masaki, this is interesting
Kuna update yoyote huko? Mana kaka yake ana mikwara haina kichwa wala miguu
 
Hacking is illegal if you can hack into a bank huwezi kujitangaza.
So I think he is very good in information war
Una ushahidi kuwa hacking is illegal? Hujasikia apple Wana ita hackers wa hack simu zao ateweza analipwa mabilioni ya pesa
 
Una ushahidi kuwa hacking is illegal? Hujasikia apple Wana ita hackers wa hack simu zao ateweza analipwa mabilioni ya pesa
Kuna ethical hackers ambao ni legal.

Ethical hacking is the authorized use of hacking techniques to find and fix security vulnerabilities in computer systems and networks before malicious actors can exploit them
 
Back
Top Bottom