Siku JPM akifanya kama anavyoshauri Lissu,lumumba watakuja JF kwa fujo kushangilia!Only the intelligent ones will understand Lissu and not otherwise.The rest will understand when it is already too late.
Nimefurahi umeanzisha huu uzi kwa sababu utaelezea kwa nini mimi simuelewi Lissu.Kumekuwa na malumbano kuhusu hatua ya Rais Magufuli kukomalia mchanga wa dhahabu (makinikia).
Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu amekosoa hatua hiyo akisema kinachotakiwa ni kufunga mikataba kwanza vibginevyo tutashitakiwa na tutashindwa.
Hali hiyo ndio inayojitokeza kwenye mkataba wa IPTL na Serikali ulioingiwa mwaka 1994.
Kila mwezi Tanesco inailipa IPTL zaidi ya sh3 billion kama service charge. Ni mkataba uliozua Maneno mengi kwa miaka mingi.
Lakini juzi Ewura wameitisha maoni ikiwa ni mchakato wa kuongeza leseni ya IPTL. Kelele zimeanza, wanaharakati na wanasiasa wanahoji kwanini IPTL ipewe leseni wakati mkataba wake una harufu ya ufisadi.
Lakini Ewura wanasema IPTL ina mkataba wa kuzalisha umeme hadi mwaka 2022, hivyo wanatakiwa waongezewe leseni.
Issue hapa ni sheria. Kosa tulilofanya ni kuingia mikataba mibovu na waliohusika wapo wanadunda tu.
Ndicho anachokisema Lissu, sheria sheria sheria.
Nimefurahi umeanzisha huu uzi kwa sababu utaelezea kwa nini mimi simuelewi Lissu.
Lissu ni mwanasheria aliebobea. Anafahamu sheria za mikataba na kwamba itachukua muda mrefu sana kujipanga kukabili hii mikataba mibovu ya madini. Kurekebisha mikataba sio kitu cha kufanyika kwa papara ama sivyo tutashindwa mahakamani.
Lakini wizi uliofanywa na ACACIA (kudanganja kilichomo kwenye makinikia) ni kosa la jinai na hauhusiki na mkataba mbovu. Hili tatizo liko kwenye uwezo wetu kulikabili kama hivi kuzuia mchanga mpaka tutakapojiridhisha ni kiasi gani cha madini kimo na kama wametudanganya au la katika declaration zao. Sijui kwa nini Lissu - mwanasheria ngangari - haliongelei hili bali anatutisha kuwa tutashitakiwa na huyu mwizi.
Mawili, ama anakula na huyu mwizi au uanasheria wake una walakin.
Is tundu lisu an intelligent? Real?Only the intelligent ones will understand Lissu and not otherwise.The rest will understand when it is already too late.
Only people with least clear minds do fall or get entrapped into Lissu's snare - Bush lawyers in a Kangaroo Court.Only the intelligent ones will understand Lissu and not otherwise.The rest will understand when it is already too late.
Sometimes it needs to be intelligent to understand the intelligent person.Is tundu lisu an intelligent? Real?
Of course if you are too dull, you can never understand Lissu at all. Poor you!Is tundu lisu an intelligent? Real?
Wakati Lissu anapinga mikataba ya madini miaka ya 90 ni wangapi walikuwa wanamuelewa?Only people with least clear minds do fall or get entrapped into Lissu's snare - Bush lawyers in a Kangaroo Court.
Unajuaje kama wamedanganya kilichomo kwenye makinikia wakati hawakushirikishwa kwenye utafiti?Nimefurahi umeanzisha huu uzi kwa sababu utaelezea kwa nini mimi simuelewi Lissu.
Lissu ni mwanasheria aliebobea. Anafahamu sheria za mikataba na kwamba itachukua muda mrefu sana kujipanga kukabili hii mikataba mibovu ya madini. Kurekebisha mikataba sio kitu cha kufanyika kwa papara ama sivyo tutashindwa mahakamani.
Lakini wizi uliofanywa na ACACIA (kudanganja kilichomo kwenye makinikia) ni kosa la jinai na hauhusiki na mkataba mbovu. Hili tatizo liko kwenye uwezo wetu kulikabili kama hivi kuzuia mchanga mpaka tutakapojiridhisha ni kiasi gani cha madini kimo na kama wametudanganya au la katika declaration zao. Sijui kwa nini Lissu - mwanasheria ngangari - haliongelei hili bali anatutisha kuwa tutashitakiwa na huyu mwizi.
Mawili, ama anakula na huyu mwizi au uanasheria wake una walakin.
anayepima kilichomo kwenye makinikia ni ACACIA au TMAA ?Nimefurahi umeanzisha huu uzi kwa sababu utaelezea kwa nini mimi simuelewi Lissu.
Lissu ni mwanasheria aliebobea. Anafahamu sheria za mikataba na kwamba itachukua muda mrefu sana kujipanga kukabili hii mikataba mibovu ya madini. Kurekebisha mikataba sio kitu cha kufanyika kwa papara ama sivyo tutashindwa mahakamani.
Lakini wizi uliofanywa na ACACIA (kudanganja kilichomo kwenye makinikia) ni kosa la jinai na hauhusiki na mkataba mbovu. Hili tatizo liko kwenye uwezo wetu kulikabili kama hivi kuzuia mchanga mpaka tutakapojiridhisha ni kiasi gani cha madini kimo na kama wametudanganya au la katika declaration zao. Sijui kwa nini Lissu - mwanasheria ngangari - haliongelei hili bali anatutisha kuwa tutashitakiwa na huyu mwizi.
Mawili, ama anakula na huyu mwizi au uanasheria wake una walakin.
1. wakati lowassa anashutumiwa kuwa fisadi MAGUFULI alikuwa upande upi? Wa lowassa au wa Tundu Lissu?Lissu hana jipya. Kazi yake kubwa ni kutetea majizi ili mradi tu atapata chake kwanza.
Wote mtakuwa mashahidi, Lowassa aliwahi kushutumiwa vikali kuwa ni fisadi hadi akawekwa kwenye LIST OF SHAME. Mwaka juzi alipoonekana kuwa ni mtaji kwao ghafla akageuka kuwa MALAIKA.
Katika issue ya mchanga (makinikia ) hivi kuna sheria gani ya kimataifa inayoruhusu wawekezaji kutudanganya kuhusu uwepo wa madini mengi kwenye mchanga?
Lissu kazi yake kubwa ni kushabikia tu sisi kuibiwa.
Hebu nifafanulie nilipojichanganya. Napenda sana kuingizwa shule.Duh umejichanganya hadi sijui nikusaidieje? Pole kaka
Unajuaje kama walichosema ACACIA ni sahihi? Ulikuwepo ACACIA walipokuwa wanafanya vipimo vyao?Unajuaje kama wamedanganya kilichomo kwenye makinikia wakati hawakushirikishwa kwenye utafiti?