shareef95nes
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 108
- 16
anaongea na baba'ke mzazi kwanza:yo::yo:mchane live, afu nahisi we ni mshika pembe vile ni mawazo yangu tu
yawezakuwa kwelianaongea na baba'ke mzazi kwanza:yo::yo:mchane live, afu nahisi we ni mshika pembe vile ni mawazo yangu tu
Hahahaha. May be mdada ni secretary au customer care
anaongea na baba'ke mzazi kwanza:yo::yo:mchane live, afu nahisi we ni mshika pembe vile ni mawazo yangu tu
we second option kwake kimbia kuna mtu anakusubiri uwe first wake.
kusoma hujui
picha nayo huoni!
tchaoooooo!
Kwani wewe hauna mwingine? Kama huna,tafuta ili uwe unam-hold na wewe.Simple like that men
aaah si vyumba tofauti,dingi huwa anaulizia chakula....!!hahaha......labda
usiku saa 5 au 6?,kwanza anaishi na dingi yake nyumba moja
saa 6 usiku? Duuh!!,aaah si vyumba tofauti,dingi huwa anaulizia chakula....!!
mkuu usihofu baba yake mtu wa maji ndo mida yake ya kurudi home hiyo!saa 6 usiku? Duuh!!,
kumbe uko reasonable sa sijui huelewi nn hapo ndg unasubiria uambiwe hatuendani ndo uelewe au?