mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,805
- 12,174
Anaandika Dr.Semeni Nyerere (MD). Nimecheka sn.
Mpwa wangu kachaguliwa UDSM kuja kusoma Bachelor of Arts with Education. Katoka kijijini kafika chuoni kakuta hana mkopo hata Tsh 0. Wenzake wameaanza kusoma tangu j3 iliyokwisha, yeye hata usaili hakufanyiwa. Niko naye tunatazamana naye hapa 'jicho kodo'
Alipataga pia fursa ya kupiga kura 2015. Katika sanduku la kura kulikua na option mbili. Kuchagua Elimu bure hadi sekondari au Elimu bure hadi chuo kikuu. Yeye alichagua Elimu bure hadi sekondari. Ninachotaka kumsaidia kwa sasa hivi ni Tsh 50,000/= nauli apande Simiyu Express kesho kuwahi kilimo kule Bariadi..
Asante kwa kuja japo inauma!!