Ana uume mdogo kama remote ya DSTV. Nifanyaje?

Ana uume mdogo kama remote ya DSTV. Nifanyaje?

Sikuchoshi mama ila nilikuwa nacheka hadi nimesitisha kazi zang ofisini, but mshauri tu hyo mtu asimpige chini kwa staili hyo sio vzr, maana anapaswa avumilie udhaifu wa mwenzake kwa kuwa hata mamaa na yeye hayuko kamili
Hayupo kamili ulimwona au?!
 
km mtt anapita kwenye K yako na hakuna mwanaume mwenye penis km mtt mdogo kwa ukubwa.msiwachoshe wanaume
Saqa kabisa
Kasome tena form 4 biology bruh naona hauelewi kwanini na swali lataka nini
 
Ni kweli unachosema kwa % fulani, japo maumbile yanatofautiana kwa mtu na mtu. Kuna wanawake wala sio warukaji kihivyo, but their bits are either above average or big. Kuna wengine wameliwa sana ila they're still average.

Wakati nipo "kijana" na kutotulia, nikikutana na 'best' mmoja hivi, alikuwa hajiamini kabisa, wakati wa kujiandaa kula sambusa akaniambia kuwa kuna njemba kabla yangu alimharibu sambusa yake, kuwa yule jamaa alikuwa "mkubwa" na anajuta kwa nini alimpa sambusa yake, mimi nikamwambia wala sio ishu, asijali. Na kweli alikuwa na njia kubwa balaa, but it didn't bother me, yeye ndio alionekana kujishtukia, yaonyesha huyo ex wake alikuwa na gobore haswa.
Ahahahaha nimechekaaa
 
Mimi wala sishangai
Nkiangalia hio PROFILE PIC ulioweka sio mchezo
Lkn nkikuona MUBASHARA lazma ntakukimbia naweza kukufkiria PACHA WAKE ASHA NGEDERE@Money Penny[emoji1321]
 
A thinnest book that a man doesn't know is all about women,huwa cjui wanawake wanahtaji kitu gani katka maisha yao.Umeamua kumkimbia mwenzio ksa anamaumbile madogo papo hapo kesho ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa bado utakimbia tena.Nathani huyo ndg yako alipaswa kumuelekeza jamaa namna ya kumkuna hata kama anayo dyudyu ndogo kwa sabab wanaume huwa tunaingiza mb** yote kwa ndani wakati sehem inayompa genye mwanamke ipo kwa juu,jitahdn kuwa vumilia wapenz wenu
Sasa mbona hakumpiga dudu kabisa shekh!
Demu alikimbiwa labda arudi akacheki show ipoje ndo tuje tuyajadili au sio?!
 
Back
Top Bottom