Ana Mke lakini nina Mtoto wake, Naomba ufafanuzi juu ya jambo hili kisheria

Siwezi kufikiria kuwa mke wa pili
Pia you need to understand the threat before commenting. Alafu niliomba ushauri ila wewe uliishia kutoa mapovu ndio maana huenda moderator aliona ulikuwa nje ya topic katika kuchangia kwako....dada Cariha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unataka mke ajue iweje comments zangu zingekusaidia nogwa tu ya moderator hata ukitumia akili ya kuvuka barabara hukuhitaji ushauri wa kisheria zaidi wa kawaida tu. Pia halikuwa povu ushauri tu kwako uliyefikiria kuzaa na mume wa mtu deal, kuzaa hata panya anazaa shogaa angu upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa amezaa na mwanaume ambaye sio mume wa mtu,halafu huyo mwanaume akaja akaoa mwanamke mwingine ambaye hazai,sheria inasemaje hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa amezaa na mwanaume ambaye sio mume wa mtu,halafu huyo mwanaume akaja akaoa mwanamke mwingine ambaye hazai,sheria inasemaje hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Uzao wao (mtoto), amezaliwa kabla ya ndoa, hivyo hatambuliki kwenye ndoa (sio halali).

2. Hafungwi na matokeo ya kabla ya ndoa, isipokuwa matokeo ya kwenye "ndoa" tu.

3. Kwa mfano wako, bado mama na mtoto wasingekuwa na nguvu za kisheria dhidi ya yule mke halali wa ndoa.

4. Mahusiano rasmi na halali yana "haki" na yanaonekana mbele ya sheria kuliko mahusiano batili (yasiyo rasmi).
 
Habari wanaJF,

Naomba ufafanuzi juu ya sheria hii

Mimi ni binti ambaye nipo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye alishaoa toka mwaka 2015 kwa ndoa ya kikristo na toka nipo naye kwenye mahusiano tuna mwaka 1 na miezi 2...
Kaa na mumeo muulize kama anaweza akaifahaisha familia yake kuwa unaye mtoto, jitahidi sana familia ya mume ijue una mtoto wa huyo mwanaume usifiche hilo wakimtambua huyo mtoto basi kuna mengine yaweza kutokea huko mbele ya safari na badae ikiwemo kumpa mtoto hela ya matumizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…