Ana Mke lakini nina Mtoto wake, Naomba ufafanuzi juu ya jambo hili kisheria

Jkosewe

Member
Feb 22, 2020
32
125
Hyo comment yangu haikuwa hvo moderator aliedit comments nyingi kwenye Uzi huu na nyingine kufuta ambazo zingemsaidia huyu dada, so my comment were edited na nyingine kufutwa maana Mimi sikumshauri hata kwenda ustwai nilimwambia a relax akifikiria mke wa ndoa kujua ndo atapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kufikiria kuwa mke wa pili
Pia you need to understand the threat before commenting. Alafu niliomba ushauri ila wewe uliishia kutoa mapovu ndio maana huenda moderator aliona ulikuwa nje ya topic katika kuchangia kwako....dada Cariha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
7,954
2,000
Siwezi kufikiria kuwa mke wa pili
Pia you need to understand the threat before commenting...
Alafu niliomba ushauri ila wewe uliishia kutoa mapovu ndio maana huenda moderator aliona ulikuwa nje ya topic katika kuchangia kwako....dada Cariha

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka mke ajue iweje comments zangu zingekusaidia nogwa tu ya moderator hata ukitumia akili ya kuvuka barabara hukuhitaji ushauri wa kisheria zaidi wa kawaida tu. Pia halikuwa povu ushauri tu kwako uliyefikiria kuzaa na mume wa mtu deal, kuzaa hata panya anazaa shogaa angu upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Samawia

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
440
250
Kisheria huna haki yoyote kwa kuwa wewe si mke wa ndoa. Kijamii tunakuona kuwa mwizi wa waume za watu.

But you need to celebrate kwa kuwa umepata mtoto mlee na mtunze mwanao huyo ndiye ndugu yako.

Kama umri wako bado nakushauri achana na huyo mwanamme haraka sana kabla mkewe hajafahamu tafuta na naamini utampata mme wako wako. Muombe huyo mzazi mwenzio msaidiane kulea mwanenu
Angekuwa amezaa na mwanaume ambaye sio mume wa mtu,halafu huyo mwanaume akaja akaoa mwanamke mwingine ambaye hazai,sheria inasemaje hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom