Ana mimba yangu, cha ajabu anataka tuachane

Ana mimba yangu, cha ajabu anataka tuachane

subiri mtoto azaliwe, kama hajafanana bosi wake au baba mwenye nyumba
 
Wadau habari zenu?

Nina msichana ambaye kwa bahati mbaya siku ya kwanza tu tumeonana nakumbuka alilala kwangu tulifanya mapenzi bila condom[emoji5] [emoji5] [emoji5]. Sasa huyo binti anadai ana mimba yangu ambayo sasa ni miezi minne.

Kilichonistaajabisha ni kwamba ananiambia tuachane na hataki habari za mapenzi na mimi na hadi kliniki kaenda peke yake. Sina amani najiuliza ni kweli mimba ni yangu?
Mkuu tena hongeraaa mkuuuu sasa huyu wangapi tena keep it up brother mpaka 100 au sio
 
Hongera kwa kupata mtoto wa nne, si ulisema unao watatu tayari???
 
Hiyo mimba ni yako ila haikupendi mkuu kazaaaah
 
Achana nae kama anavotaka yeye usilazimishe kua nae,kua na mimba yako isiwe kigezo!
 
Ila watu mna roho ngumu dude limekufunulia kwa mara ya kwanza bila kupima wala nini unakula kavu .......... nyinyi mnawazidi hata wale wanaojilipua mabomu.
 
Usijari swahiba hiyo hali ya kukukataa ndio dalili tosha ya kukujulusha kuwa hiyo ni mimba yako maana kwa kawaida kipindi cha mwenza wako awapo na mimba changa kuna hali ya kumtibua rohoni kwake mala hakupendi mala atapike na mabo mfano wa hayo hivyo wala usijari ni mambo ya mpito tu hayo baadae yakwisha na maisha yataendelea hivyo wala usimuache
 
Back
Top Bottom