Ila hizi baby-face sometimes zinakosesha mambo matamu; one day kuna mtu wa supermarket alinikata zaidi ya miaka 15 hivihivi naona, akagoma kuniuzia "Cider". Kang'ang'ana huyo bila ID kitu haiuzwi!!!
Hahaha kweli aisee unaenda supermarket kwa wenzetu unataka kununua pombe au wine unaambiwa bila id hawauzi
mkuu ni celeb na huwa naangalia movie zake
Movie nyingi ila maarufu zaidi kwa show ya Nigeria got talents,ye no judge
Movie nyingi ila maarufu zaidi kwa show ya Nigeria got talents,ye no judge
ana udongo mzuri