mzuri ila akiongea ana kibezi
Kama 23 vile
huyo ana miaka 43 miaka halisi ya sitti wanasema kuanzia 26-29,sasa huoni huyu bado mrembo
huyo hapo ana miaka 43,sitti anacheza 26-29 ndo tofauti je sitti akija kufikisha miaka 43 ataonekanaje?
ila ana mazoezi pia yuko fiti
mkuu ni mkeo unamsifia sana nini ?