Ana lips pana!

Yaani JF kuna vichaa wengi, na hii nayo ni habari?
 
Siku nyingine usikosee ku-post ujumbe wa Facebook kwenye discussion forum! Sasa kwa nini asiwe na lips pana au kubwa wakati hayo mambo ni genetic ingawaje wengine wanafanya plastic surgery.
 
Akicheka ana mwanya...

Kumbe huyu hana mwanya
 
Mie hili jicho! Hakyanani naweza honga kale kavitz kangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…