VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,006
hadithi hadithi.hadithi njoo.uongo njoo utamu kolea...........
Hakuna cha kuchuja hapa wala nini,haya majinamizi yataendelea kuwaandama mpaka mwisho wa masisiem na vibaraka wake.amechuja huyu, kwa sasa hot story ni matokeo ya form four
Tusaidie Mkuu,kwani unavyojua Dr.Ulimboka yuko wapi?Hamna kitu hii hadithi
mkuu tugawane basi perdiem maana hali yangu ni mbaya sana ki-uchumi, nimekwama.Mwishoni mwa juma hili,nilikuwa nchini Uganda kumsindikiza kigogo mmoja wa CCM na Serikali aliyekwenda kutoa mkono wa pole kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni ambaye hivi karibuni alifiwa na mama yake mzazi.
matokeo mabaya ya kidato cha Nne ndio habari ya mujini
Hapo zamani za kale
Mkuu Oti Kate huogopi? Hongera sana...alitokea mpuuzi mmoja kwa jina la...........