mi ndo nawapenda hao mkuu hebu nipe link uone balaa lakeHabari zenu wana mmu!
I hope most of you now are opening boxes... Wishing a happy boxing day!
Sasa wadau, mimi leo sijui niite vipi, binafsi kithembe sikipendi kama nini!
Haya bwana, leo nimekutana uso kwa uso na toto very shaped from zanzibar! And she told me she is her in the city just for these holidays!
Binti wa watu hana nyodo wala mikogo, si mgum wa kuongea wala hakusita kuitika nilipotia neno moja baada ya lingine!
Jamani ghafla tu from nowhere nimejikuta nimempenda kwa muda!
Sasa tatizo hapa binti ana kithembe jamani, dah! Kila akiongea yani kwenye sa anaweka tha!
Wadau, sijaja kupigwa mawe hapa tafadhali!!!! Tuongeeni tu kwa amani, tatizo hili tunawezaje kulieliminate jamani?
Kithembe sikipendi kama nini!
athante thithta!
Nshaanza kuadopt!
mkuu i find it very sexy when a woman with kithembe speaks, daah sijui nikuelezeje yaan.Hahhaaa! Umewapendea nn mkuu?
Habari zenu wana mmu!