miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
mwambie achekeche akili apate hela huwa tunatongoza ukiwa hela .. masomo mema
aliwiki mjini bJogoo la shamba
Hahaa! No money no chaga's honey ni hatareeemwambie achekeche akili apate hela huwa tunatongoza ukiwa hela .. masomo mema
ndiyo mkuu akili ndogo tu
Ningekuwa mimi mbona ningesema tu mkuu hamna cha kuogopa ila sio mbaya ukitoa ushauri kwa mm nikichukua nafasi yake mkuuHuyo jamaa mwenyewe ndio wewe hapo ee..pole sana mkuu..jiamini mbele ya wanawake au tukufundishe jinsi ya kupiga vokal
Basi aende kwa mtaalam wa saikolojia ya mapenziNingekuwa mimi mbona ningesema tu mkuu hamna cha kuogopa ila sio mbaya ukitoa ushauri kwa mm nikichukua nafasi yake mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
MAGOLI YA MKONO YAPOJE BOSS ?Sasa ataendelea kushinda magoli ya mkono mbaka lini?
Mwambie awe mwanaume basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pokea likes 1900Hivi kumbe kila mwanaume ana ndoto ya kua na mwanamke mkali, kina sie sijui tutapendwa na nani,
nwei mwambie ajikubali tu haezi jua hata hao anaowaona wakali wanajitutumua kua hivyo coz wana inferiority complex.