Ana GPA ya 2.6 Degree anataka kusoma Masters. Je, inawezekana?

Kama tayr kiuchumi hushajitengenezea mazingira mazuri kiasi kwamba umefanya uwekezaji wa kutosha na unahitaji kuendelea kusoma ili kujiimarisha katika yale ambayo tayr hushaandaa, nenda kasome ila kama unataka ukasome kisha ndo uje uanze life vizuri think twice. Kaa fikiria kingine
 
Back
Top Bottom