isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
[emoji38][emoji38][emoji23] Daah aisee watu mnasifa za kiboya sana.wale twiga wameshavuliwa mizula??
Cheki hizi nchiKaka hizo sio huru Marekani bajeti yao wanazihusisha
Guyana is the only English-speaking country in South AmericaSio kweli, Latin America ziko nchi 20, ukiacha Brazil inayotumia kireno, hakuna nyingine inayotumia English, most ni Spanish
Yah...Guyana speaks EnglishHivi America ya kusini ukiondoa Brazil, kuna nchi nyingine ambayo sio spanish speaking country?
Hivyo visiwa havipo Latin AmerikaCheki hizi nchi
14
 Antigua and Barbuda Bahamas Barbados Belize Dominica Grenada Guyana Jamaica Saint Kitts and Nevis Saint Lucia Saint Vincent and the Grenadines Trinidad and Tobago
Dependencies
9
 Anguilla Bermuda British Virgin Islands Cayman Islands Falkland Islands Montserrat Puerto Rico Turks and Caicos Islands United States Virgin Islands
Mkuu umeziona hizo nchi 12 za kwanza..,hizo zipo independent kabisa haziendeshwi na mtu....baadhi zinaongea Spanish zingine English, French nk...
Hizo tisa za kundi la pili ndo unazosemea ww....hizo kuna baadhi zipo chini ya mmarekani na zingine chini ya mwingereza na nyingi tu zinaongea English....
Kwa hiyo kuna nchi nyingi tu independent ingawa na dependent zipo...
Ndiyo ni Caribbean naelewa...but some are part of south america...Hivyo visiwa havipo Latin Amerika
Angalia michikichiki iyo ni mtu wa kigoma huyo
Cheki hizi nchi
14
 Antigua and Barbuda Bahamas Barbados Belize Dominica Grenada Guyana Jamaica Saint Kitts and Nevis Saint Lucia Saint Vincent and the Grenadines Trinidad and Tobago
Dependencies
9
 Anguilla Bermuda British Virgin Islands Cayman Islands Falkland Islands Montserrat Puerto Rico Turks and Caicos Islands United States Virgin Islands
Mkuu umeziona hizo nchi 12 za kwanza..,hizo zipo independent kabisa haziendeshwi na mtu....baadhi zinaongea Spanish zingine English, French nk...
Hizo tisa za kundi la pili ndo unazosemea ww....hizo kuna baadhi zipo chini ya mmarekani na zingine chini ya mwingereza na nyingi tu zinaongea English....
Kwa hiyo kuna nchi nyingi tu independent ingawa na dependent zipo...
mkuu,thanksFarolito
Those are just overseas territories..... they are under the sovereignty of either UK or US.....They are remnants of the British Empire or United States that have not been granted independence or have voted to remain British or USA territories. These territories do not form part of any of the countries(US or UK). Most of the permanently inhabited territories are internally self-governing, with the UK or US retaining responsibility for defence and foreign relations.Some are inhabited only by a transitory population of military or scientific personnel. Those for UK share the British monarch.
Pamoja sana mkuu...mkuu,thanks
Achana na hii bajaj ona hii V8
SubiriV8 iko wapi mkuu?