Ana asili ya wapi huyu Blonde?

Kuna nchi kaskazini mwa Colombia zinaongea kiingereza
Sio kweli, Latin America ziko nchi 20, ukiacha Brazil inayotumia kireno, hakuna nyingine inayotumia English, most ni Spanish
 
Hivi America ya kusini ukiondoa Brazil, kuna nchi nyingine ambayo sio spanish speaking country?
nchi nying south america zinaongea spanish kasoro brazil ambayo spanish sio oficial language, kuna pia kama guyana, suriname nchi ndogo hizi it takes time to notice quickly...
 
Mchina amebadili sana maumbo ya watu. Huyo ni Mrusi aliyemeza dawa ya kuongeza tako from China with love
 
North America na Central America inajumuisha mataifa huru yafuatayo pamoja na lugha zao rasmi:-

- Canada ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ (English, France)
- United States of America ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (English)
- Mexico ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ (Spanish, Mayan, Nahuatl)
- Guatemala ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡น (Spanish, Amerindian)
- El Salvador ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ป (Spanish)
- Honduras ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ณ (Spanish)
- Belize ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฟ (Spanish, Belize Creole, English)
- Cuba ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡บ (Spanish)
- Haiti ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡น (Haitian Creole, French)
- Dominican Republic ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ด (Spanish)
- Dominica ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฒ (English, French Patois)
- Trinidad and Tobago ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡น (English, Spanish, French, Hindi)
- The Bahamas ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ธ (Bahamian Creole, English)
- Barbados ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ง (Bajan, English)
- Nicaragua ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฎ (Spanish)
- Costa Rica ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ท (Spanish)
- Panama ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฆ (Spanish, English)
- Saint Kitts and Nevis (English)

Mataifa yasiyo huru/rasmi ni kama yafuatayo:-

- Puerto Rico ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ท (Spanish) Imeshikiliwa na US.
- Bermuda ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฒ (English) Imeshikiliwa na United Kingdom
- Martinique ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฝ (France, Spanish) Imeshikiliwa na France
- Guadeloupe ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡บ (France) Imeshikiliwa na France.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ