Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,017
Na vitoto vingine utavisikia...''ITS MY TURN NOW DADY''....ukihamisha utaskia 'BUT MUM ITS NOT FAIR"
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu SIKAPENDI HAKA KASENTENSI HAKA!ehehehe nimetoka kumlabua mmoja kerbu la maana siku si nying kati hapa!
wanatazama BSS...
Mh ila mie nae nilikuwa mtundu. Tom boy kabisaaaaaa. Umenikumbusha mbali aiseee.
hhhahahhahhahhaa walahi nina konfesheni hapa!Kuna mkaka tulicheza nae one touch sana! Tena kifua wazi manake tshirt ikichafuka na ule mpia wa makaratasi ni msala. Saa hizi ana vijisenti ananitongoza namuangalia hata simmalizi!
Kuna mkaka tulicheza nae one touch sana! Tena kifua wazi manake tshirt ikichafuka na ule mpia wa makaratasi ni msala. Saa hizi ana vijisenti ananitongoza namuangalia hata simmalizi!
Kuna mkaka tulicheza nae
one touch sana! Tena kifua wazi manake tshirt ikichafuka na ule mpia wa
makaratasi ni msala. Saa hizi ana vijisenti ananitongoza namuangalia
hata simmalizi!
Nimecheka jamani utoto wenu mli enjoy,,,
Mie sikucheza jamani na sijawahi kucheza kabisa nilikua kapole sana.