Hahahaha! Yaan hii ndio mbinu Bashite aliitumia! Anaambiwa atoe vyeti anaenda kulia misikitini, makanisani... yaan j2 moja anasali makanisa matano, akiamini Jesus is always the answer! Dah kweli Bashite alistahili zero! Mkuu umenifurahisha sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.