Mmmh naona tumewageuza TCRA kuwa TAKUKURU na POLISI.
Hivi mbona hakuna anayelalamikia SMS za TAKUKURU. mimi nilipata kadhaa wiki chache zilizopita.
ushauri wangu ni ku ignore tu hizi sms, ukipata futa hakuna haja ya kujibu.
YOTE MWISHO TAREHE 31 OCT 2010 - UKWELI UTAPATIKANA, HAKI ITATENDEKA.
Sijui watatuma ujumbe gani sasa mmmh.
SIKU kumi na nane (18) tu za kutusumbua, bye byeeeeeeeeeeeeeee
Tumeni mkichoka mtaacha.