An opportunity to earn 6 figure income part-time

Hii michezo ya pesa za haraka mibaya sana mama mmoja alikuwa amejiunga deci alikuwa training siku mwenzio anamjulisha waziri kapiga marufuku deci alipomaliza kusoma akpiga kelele kama maruhani akannguka...aliamkia regency hospital uwezi amani

anyway mungu ampe huruma zake baadae ikaja kusikika ameingiza kama million 10 zake akawashauri mchungaji mmoja wa kawe apelke sadaka so alichokuwa akiwaza zaidi ni atamuelezaje yule pasta imekwiiiiiiiiiiiiiiiiisha na jamaa kanisa wakishirikiana na mtunza fedha wakapeleka bila kujulisha watu loh ilikuwa hatari mchungaji wakatimua mweka hazina nje ikabidi mama na mze nao wahame..so hivi vya bure omben mungu awafichue muone jicho la rohoni..tusimsingizie shetwan wakati amesema asiefanya kazi na asile
 
A great career opportunity is available to those that are SERIOUSLY seeking a better, stress -free career path for their FINANCIAL SECURITY.

  • Are you tired of spending too much time at a stressfull employment, with very little salary?
  • Are you overwhelmed with debt and have no means of paying it off?
  • Are you open-minded, and willing to learn some new skills that will allow you to live a financially free life?
  • Are you looking for an opportunity to earn extra cash part time (Tsh 1m to 3m per month), without compromising your current activities?
  • Are you highly ambitious, smart, self-starter, result-oriented, fast learner, team player, creative, writting skills and computer literate?

If your answer is YES, send email to shindalife@gmail.com attaching your CV, and a cover letter of why such an opportunity is important to you.

"Insanity is doing the same thing over and over expecting different results" - Albert Einstein

-1) The abbreviation for Tanzanian Shilling is TZS ,not TSH

0) 1M -3M TZS IS SEVEN(7) FIGURES ,NOT SIX(6) FIGURES.

1) It's STRESSFUL ,not stressfull

2) SMALL SALARY ,not little salary

3) financially free life??? WHAT THE HECK IS THAT????????????

4)
earn extra cash part time ,LEARN SOME PUNCTUATION ;FOR PETE'S SAKE.

5) A SELF-STARTER ,not
self-starter .Otherwise u would be meaning ARE YOU SELF-STARTER?(WHATEVER THAT IS.By the way ,what is a self-starter??? LMBAO!! )

6) again ,a fast learner ,a team player .Unless u want to ask :Are you team player??

7) are you writting skills??? REALLY??? FIRST IT'S NOT WRITTING BUT WRITING.Second ,do u want to know whether someone IS writing skills or HAS SOME writing skills??????

8) SEND AN EMAIL ,NOT send email .And start with "Please" ,please .

9) A COVER LETTER EXPLAINING WHY ,NOT a cover letter of why . DUDE ,do u really need an explanation as to why someone would need an extra 1m to 3m??? Who wouldn't??????


10)
Insanity is doing the same thing over and over AGAIN AND expecting different results" - Albert Einstein .

U ARE WELCOME .GO LEARN SOME ENGLISH AND THEN COME ASK FOR MY CV AGAIN. ;-)


 
Kwani kuna mtu kasema advert yako si genuine?!! ila jambo unalotangaza si genuine. wewe watu wakutumiea CV zako kwenye email yako binafsi ya gmail ili iweje? Halafu hata hawajui ni kampunigani inajihusisha nini watu watume tu CV?!! Huyo atakuwa ni mjinga wa mwisho, ondoa wizi wa kijinga, vijana wetu wana matatizo mengi tu haina haja kuwaongezea mengine!!!:mad2:
Jihadhari :fencing:

Na maana mzima ya up date CV haitakuwa na nafasi coz' from what i know sio kila ki2 una-include kwenye CV but kile tu kilicho relevant na post husika na job description! Mie nimesoma AgroEconomics, na ndani yake nimesoma hadi Botany na Price Analysis! So, should i include kwamba one of my skills ni Botany wakati anatakiwa Price Analyst?!
 
Na maana mzima ya up date CV haitakuwa na nafasi coz' from what i know sio kila ki2 una-include kwenye CV but kile tu kilicho relevant na post husika na job description! Mie nimesoma AgroEconomics, na ndani yake nimesoma hadi Botany na Price Analysis! So, should i include kwamba one of my skills ni Botany wakati anatakiwa Price Analyst?!

Watu wa namna hii ni wa kuepuka kabisa, tena wana-deserve kuwa banned!
 
Enh, kweli kabisa. hilo tangazo la kazi halijitoshelezi kwa kweli. Kama kuna uwezekano tunaomba ufafanuzi zaidi, japo qualifications zipi zinatakiwa. Itakuwa vizuri sana hasa kwa sisi wenye uhitaji wa ajira kwa wakati huu. Ili mtu usije ukapoteza muda wako kumbe haufit. Ni noma alafu inauma.
 
Hao ni matapeli, kama wana hela za chapchap hivyoo ni bora wazipeleke m'nyamala hosptl kwenye wodi zisizo na vitanda wagonjwa wapumzike vizuri. Au la wakawape watoto wa wajomba na mashangazi zao.

Kwa taarifa yako sasa wewe ulietuma tangazo hili:
Watanzania wengi wamekuwa wakiandika sensitive info zao katika email, n.k na wengi wao hutumia birth dates zao kama password, sasa kwa kujua email addr yake na tarehe yake ya kuzaliwa, kwa mjanja wa computer ni rahisi kupata password na kuweza ku'sneak' in some one's email.
Wana JF hizi ni zama za uwazi na ujanja mwingi, so kuweni macho na matangazo kama hayo. Kwa kampuni yoyote ile iliyo makini haiwezi kutumia gmail account, watajitangazaje sasa???
Isitoshe gharama ya kumiliki jina la kikoi (domain name) la kampuni kwa mwaka haizidi hata 200000/= sasa wewe utatoaje six digit kama salary kwa mfanyakazi wako halafu ushindwe kuwa na domain name? Acha upuuzi.

Huu ni mwaka wa kurekebishana tu mpaka tuwe kama USA, UK na kwingineko......
 
Aliweka post yake 22 sept 2010, hadi leo hajajibu hoja hata moja kwenye post aloanzisha mwenyewe.
 
Nina ndugu yangu alijibu tangazo la jinsi hii - akapewa na form kujaza eti angeajiriwa na shirika fulani la Umoja wa Mataifa na angekuwa based Marekani. Ikafika wakati akatakiwa kutoa pesa (kama Tshs milioni 3 hivi) eti kwa ajili ya kuprocess mambo ya usafiri/uhamiaji, aliambiwa mara aanzapo afikapo Marekani angerejeshewa. Mshahara na marupurupu aliyoahidiwa kweli si haba - akasainishwa na form za ajira, tena alizidownload kutoka kwenye mtandao alivyoelekezwa.

Ponapona yake ilikuwa kutokuwa na fedha za kutosha, hivyo alipojaribu kukopa alishauriwa kwanza acheki na ubalozi wa Marekani au ofisi zozote za Umoja wa Mataifa hapo Dar. Huko alithibitishiwa kwamba hakuna ile ajira - alikuwa mbioni kutapeliwa.

Ndugu zangu uhaba mkubwa wa ajira wengine wameufanya mtaji. Tusidanganyike kwa urahisi.
 
Wewe unaomba CV z watu, je wewe ni muajiri? Kama jibu ni ndiyo, kwa nini husiweke contacts za kampuni yako watu wakatafuta ukweli kuhusu kampuni yako kisha waka-apply? Utawezaje kutuma CV wakati hata hujui fani ninayotafuta ni ipi. This smells like Identity Theft to kwa uelewa wangu mdogo.
 
I BET
MUST BE A NETWORK MARKETING:
OH HOLLY GOD!!!!!
INAHITAJI MOYO SANA.

QUESTNET WITH BIODISC, FOREVERLIVING PRODUCTS, ORIFLAME etc

guys, YOU MUST HAVE A HARD HEART, KIMAELEZO NI RAHISI KUPATA PESA BUT PRACTICALLY ITS A DREAM, BUT A GOOD THING IS THEIR TRAINNING CAN HELP YOU DEVELOP YOUR OWN SYSTEM.

BEST WISHES KATE, YOU ARE LOOKING FOR CHAMPIONS!!!!
 
jamani mmenifungua macho lol! na hizi njaa, wengi wangeapply maskini. kweli this is the home for great thinkers!

thanks.... tupo juu, naona hajajibu tena.
 
jamani mmenifungua macho lol! na hizi njaa, wengi wangeapply maskini. kweli this is the home for great thinkers!

thanks.... tupo juu, naona hajajibu tena.

jamaa mbona hajibu hoja za watu! vp tena yamekuwa mazitoo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom