An Open Letter to Shy-Rose Bhanji

An Open Letter to Shy-Rose Bhanji

Easy Great Thinkers! Take her slowly,she is taking something here! Dont blast her like you used to hit strong man Zitto! easy jamani she is a lady khaa!

can you translate this to swahili since she knows nothing about english

mwandishi WA hii article ni mtata kuliko hata kikwete mwenye ni lini tulikubaliana kwamba watanzania tusimamia mtu tuliyempigia kampeni hata kama anatumia nchi kwa manufaa yake au hasiyejari matatizo ya taifa?
Mtoa Maada angekuwa mstaarabu kama angesema au kukanusha kwamba kikwete sio dhaifu na taifa halina vacuum leadership, Lakini PIA kabla ya kumjibu dada shy angeweka bayana katika 2005 to 2010 na 2010+ mafanikio na matatizo ya nchi hii kiuchumu, na utagundua kwamba kwa miezi kumi tu hii serikali ya Leo ni failure
Cha msingi zaidi ni kwamba shy-rose alisema kikwete kama "let down" na kauli hiyo inaonyesha kulikuwa na element za trust ambazo kikwete kazivuluga
Kwa fuata uzalendo
Swali hapa ni
Kwa nini kikwete anakimbia na wafuasi wake? NA sio kwa nini mfuasi furani Ana lalamika

Shyrose Bhanji being a self made celebrity (came to light during her tenure as a Tanzanian PR officer of the failed bogus British company) and a known figure among the media and public in general, her stints and widely reported love affair with the young musician (much younger compared to her) statutes her to be the "self made" celebrity of Tanzania.

Her bitterness to Kikwete and other CCM leaders, is a direct result of her failure to make it past the Party nominations during the 2010 election season.

In her "bigger than reality" feeble mind she thought by being in the newspapers almost regularly was a sure ticket of clinching a parliamentary seat.

True to reality, she never passed beyond nominations, could she have been promised of a seat and support by those leaders to cause her current "umemwaga kitoweo namwaga ugali" attitude towards them? Who am I to answer that question?

This is person attack stick to the topic Fool,
Mambo ya mabwana sake yanatuhusu nini? Ni wapi kwenye katiba mwanamke lazima aolewe na mwanaume aliyemzi umri?
Wewe wanaume wote uliotembea nao wanakuzidi umri? Watu kama nyie unakuta hata mnatembea na kaka/baba zenu lakini kunyosha vidole wa kwanza
Peleka utupu Wako huko mimba wewe ,
Ndio maana watu wanaidharau Dini yetu ni kwa kauri kama zako Kisha wote tunaoneka hatukwenda shule

Shyrose Bhanji being a self made celebrity (came to light during her tenure as a Tanzanian PR officer of the failed bogus British company) and a known figure among the media and public in general, her stints and widely reported love affair with the young musician (much younger compared to her) statutes her to be the "self made" celebrity of Tanzania.

Her bitterness to Kikwete and other CCM leaders, is a direct result of her failure to make it past the Party nominations during the 2010 election season.

In her "bigger than reality" feeble mind she thought by being in the newspapers almost regularly was a sure ticket of clinching a parliamentary seat.

True to reality, she never passed beyond nominations, could she have been promised of a seat and support by those leaders to cause her current "umemwaga kitoweo namwaga ugali" attitude towards them? Who am I to answer that question?

FF kumbe kinapanda cha kuombe chumvi na t-shirt wakati wa uchaguzi!

FF mtu ambaye alishindwa kujipigia kampeni yeye mwenye aliwezavipi kumpigia kampeni Kikwete? Huyu ambaye hamjui ndie ndie anaweza kupoteza muda wake nae, kama yeye alikuwa na mchango mkubwa wa kumpigia kampeni Kikwete kiasi hicho mbona naye angejipigia na kushinda nafasi ya Ubunge. Hawa ni watu ambao wanaishi kwa maneno bila kufanya kazi, watu wanamna hiyo mara zote utafuta umaharufu wa mteremko na vyeo vya uteuzi kwa staili ya namna hiyo.

Mi nasubiri nione chama gani kipumbavu kitakacho mpa kazi kwa staili hiyo, namshauri ashike jembe akalime, watu wanamna yake enzi za Sokoine walikuwa wanakamatwa na kurudishwa vijijini wakalime, sasa siku hizi wamezagaa mjini wanabaka watoto lakini Polisi hata haichukui hatua yoyote ile.

This is person attack stick to the topic
Fool,
Mambo ya mabwana sake yanatuhusu nini? Ni wapi kwenye katiba mwanamke lazima aolewe na mwanamke aliyemzi umri?
Wewe wanaume wote uliotembea nao wanakuzidi umri? Watu kama nyie unakuta hata hata mnatembea na kaka/baba zenu lakini kunyosha vidole wakwanza
Peleka utupu Wako huko mimba wewe ,
Ndio maana watu wanaidharau Dini yetu ni kwa kauri kama zako Kisha wote tunaoneka hatukwenda shule

Wee ndio Shyrose mwenyewe nini? kwani huyo kijana mdogo kuliko yeye walioana au walikuwa wanafanya zinaa tu? nani sasa anaetukanisha dini hapo?

Mie Gozi langu moja tu (prove otherwise) tena limenitoa kwetu kihalaaaali wala hajauona utupu wangu kabla ya ndoa. Unanchekesha! usione vinaelea vimeundwa babu wee!

This is person attack stick to the topic

Fool,

Mambo ya mabwana sake yanatuhusu nini? Ni wapi kwenye katiba mwanamke lazima aolewe na mwanamke aliyemzi umri?

Wewe wanaume wote uliotembea nao wanakuzidi umri? Watu kama nyie unakuta hata hata mn
TO FOOL HER/HIM IS ONLY THE MATTER!

Wee ndio Shyrose mwenyewe nini? kwani huyo kijana mdogo kuliko yeye walioana au walikuwa wanafanya zinaa tu? nani sasa anaetukanisha dini hapo?

Mie Gozi langu moja tu
?? mh! ashaanza jazba na kusahau mada!

Shy-Rose Banji, usiwasikilize akina Chiligata hawa na barua ndeeeeeefu kama mkia wa chui huku kinachodhaamiriwa ni punje tu la wazo. Cheer on Banji, cheer on and steer clear of Mafisadi.

Mpaka sasa Jijini Dar kuna majimbo mawili yako wazi bila wawakilishi na majimbo hayo ni pamoja na Ilala na Kinondoni. Cha msingi wewe kajichagulia jimbo mojawapo na kupitia CDM vijana tunasubiri kukufikisha Mjengoni bila chuki wala fitna hizi za ajabu ajabu CCM.

Do waste your valued time reading that long-thing up there tafadhali kajishughulishe na mambo mengine yalio ya msingi zaidi kwa maisha yako LAKINI kajiunge mapema na Wapiganji wa ukweli CHADEMA na wala usisubiri mpaka pale ambapo jopo kubwa toka CCM litakapokua linavuka kwa mkupuo kama ambavyo maelezo ya ndani sana yanavyodai hadi hivi sasa.

Nadhani tuko pamoja Kamanda wetu!!!!!!

This is person attack stick to the topic
Fool,
Mambo ya mabwana sake yanatuhusu nini? Ni wapi kwenye katiba mwanamke lazima aolewe na mwanamke aliyemzi umri?
Wewe wanaume wote uliotembea nao wanakuzidi umri? Watu kama nyie unakuta hata hata mnatembea na kaka/baba zenu lakini kunyosha vidole wakwanza
Peleka utupu Wako huko mimba wewe ,
Ndio maana watu wanaidharau Dini yetu ni kwa kauri kama zako Kisha wote tunaoneka hatukwenda shule
Mirembe panakufaa sana wewe.

She isntt a politician yet but a political admirer. though she always introduce herself as an activist to me she is nothing than a pretender! As a politician you have to be focused with a vision, courageous and much devoted with peoples actual demands. Shy-rose isnt of this type, she is more artificial, a profit oriented politician. Anyway if she want to enter into politics she has to think deeply and wise where she would fit. Ccm is not the right party to her!

Huko mirembe mlikuwa mnasagana? Nasiamini kama watu wa mirembe wanajua kitu kinachoitwa Dini.

She isntt a politician yet but a political admirer. though she always introduce herself as an activist to me she is nothing than a pretender! As a politician you have to be focused with a vision, courageous and much devoted with peoples actual demands. Shy-rose isnt of this type, she is more artificial, a profit oriented politician. Anyway if she want to enter into politics she has to think deeply and wise where she would fit. Ccm is not the right party to her!
well said. kama atakuwa ni mwenye kuelewa basi hatarudia tena. kwani hata yeye mwenyewe alikuwa hajielewi yupo nafasi gani kwenye jamii.

@Huyu dada Shyrose ni mjanja sana, anachotafuta ni madaraka tu, she is opportunistic, amesubiri & kupigana sana kupata madaraka (Ukuu wa wilaya, Ubunge wa jimbo/viti maalum/viti vya rais, Ujumbe wa halmashauri ukuu nk.) kupitia CCM lakini wapi, she missed favor from JK (Because she was Sumaye's key supporter in 2005 CCM presidential nominee election) @So now what she is doing is to raise awareness/tension in &out of CCM, then atapozwa na JK (Kama Nape) au atakaripiwa ili apate nafasi ya kuhamia upinzani (eg.Chadema) au ajifanye mwanaharakati dhidi ya utawala huu wa JK. Lengo ajihakikishie ubunge wa jimbo/Viti maalum 2015 nk. @Hawa si watu wa kuaminika kabisa kwenye siasa, Vyama makini kama Chadema mnatakiwa kuwa makini sana na watu wa namna hii, Hawana msaada sana kwa chama zaidi ya kuja kuwachanganya. Mifano ipo: Mnamkumbuka Nakaaya, Shibuda, Madiwani 5 wa Arusha,Tambwe Hiza(CUF), Shitambala nk. Just wait and watch the cinema..

V.P. I like to differ with you on Shyrose bhanji. Shyrose was disturbed by JK diplomatic approach on tough national issue and as a free citizen she decided to tell the President what is happening in the streets, to me she was right and she is protected by the constitution. By supporting JK she was supporting her Party based on Party Manifesto. The party clearly explained why they did not reach the set goal and they thought mandate and they were given as a party and not JK. JK is just the CEO or MD of the party who is supposed to be assisted by committed team for the party to reach its set goal. I have used the word committed because I am not a believer of competent team e.g who is the most learned person in Tanzania other than the former AG? but the country is in shambles right now! Our first President was educated but the country is still in shamble, so to me let people come out of deep slumber and see that we need are committed individuals to drive ourselves out of this pathetic situation immediately.

KAMA BHAJI NI OPOCHUNISTI TU KWA NINI HIZI MBIO ZA MFA-MAJI KUMTAFUTIA
MPOOZO WA UKUWA WILAYA LAKINI KATIKA MIKOA YA PEMBEZONI??????????

Shy-Rose Banji si opportunist endapo kweli maana litakua limezingatiwa ipasavyo.

Kwa kuthibisha madai hayo ya utetezi wangu kwake, niambieni tangu enzi za Mhe Amina Chifu wa Mpakanjia (marehemu) ni kiongozi yupi tena mwanamke nchini aliyewahi KUTHUBUTU, KUWEZA na hatimaye KUSONGA MBELE na FIKRA HURU kiasi cha kumkosoa rais kwamba hatendei haki Watanzania na kuendelea kusimamia madai yake hadi mwisho???

Mle ndani Magogoni kuna akina Baba waangapi wanajua fika kwamba mambo hayawaendei vizuri hata kidogo Wa-Tanzania lakini wao kazi ni kujichekesha chekesha ovyo tu kama mayawani ilmradi tu wao na familia zao mikono inaenda kinywani????

Hivi mpaka leo hushangai tu kwamba madai kama yale yale ya Mpambanaji Bhanji dhidi ya Mhe Kikwete ndio hayo hayo yamejiri hapa Jukwaani JF kwa hisani ya WIKILEAKS kabla ya WALINZI WA UTAWALA DHAALIMU hawajajitokeza kuja KULINYOFOAA SHREDI ZIMA UBAONI NA kuondoka nayo kusikojulikana???

Bahati nzuri tu ni kwamba nakala kibao zilizokwishatafsiriw kwa Kiswahili ndio hivo zinaendelea kugombaniwa kama maandazi ya moto kote mitaani na vijijini wananchi kujitafutia kujiridhisha na sakata la madai ya kuuzwa kwa nchi kwa dhamani ya suti za Ulaya.

Hivi bado tu wengine hamstuki tu kwamba bila hata kupita hata wiki moja tu nayo WIKILEAKS ikaamua kumwaga mtama kwenye kuku wengi yenye madai hayo hayo kabla ya kutoweshwa kimazingaombwe hapa jukwaani???????????

Da Bhanji, majimbo ya Kinondoni na Ilala yako wazi bila ya mwenyewe jiandande vijana tunakufikisha mjengoni Dodoma bila kutegemea FADHILA za mtu yeyote yule.

Vile vile tayari tunayo taarifa kwamba kuna mbio za mfa-maji kukupooza na ukuu wa wilaya lakini katika mikoa ya pembezoooni kabisa usikoonekana na vyombo vya habari wala kufikika na hizi 'Hassani Miundombinu - kijana wa Magomeni' kama vile mtandao wa JF, lakini usikatae maana ni fedha za walipakodi hizo isipokua chungu kisipoe hata tone; mwendo mdundo kwa Uanaharakati wako!!!!!!!!

Please, keep your eyes to your MOST DEFINING CONVICTIONS AGAINST 'DHULUMA' na wala usiwape nafasi hawa TIME-WASTERS wengine ambao waazinduka tu siku ukombozi wa mwisho wa WAZULUMIWA nchini utakapowadia miaka michahe ijayo.

Hata mama Winnie Mandela umaarufu wake ulianzia tu kama mchicha kwenye mashamba ya Walazwahoi kule Mto Msimbazi na baadaye ukapanuka kama Mbuyu wa kule Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Jijini Dar!

@Huyu dada Shyrose ni mjanja sana, anachotafuta ni madaraka tu, she is opportunistic, amesubiri & kupigana sana kupata madaraka (Ukuu wa wilaya, Ubunge wa jimbo/viti maalum/viti vya rais, Ujumbe wa halmashauri ukuu nk.) kupitia CCM lakini wapi.

She missed favor from JK (Because she was Sumaye's key supporter in 2005 CCM presidential nominee election) @So now what she is doing is to raise awareness/tension in &out of CCM, then atapozwa na JK (Kama Nape) au atakaripiwa ili apate nafasi ya kuhamia upinzani (eg.Chadema) au ajifanye mwanaharakati dhidi ya utawala huu wa JK.

Lengo ajihakikishie ubunge wa jimbo/Viti maalum 2015 nk. @Hawa si watu wa kuaminika kabisa kwenye siasa, Vyama makini kama Chadema mnatakiwa kuwa makini sana na watu wa namna hii, Hawana msaada sana kwa chama zaidi ya kuja kuwachanganya.

Mifano ipo: Mnamkumbuka Nakaaya, Shibuda, Madiwani 5 wa Arusha,Tambwe Hiza(CUF), Shitambala nk.

Just wait and watch the cinema..

Hivi kweli hakuna mtu alofunga ndoa kisha akaja gundua kuwa mwenza wake sii kama alivyomtegemea? - mbona haya ya kawaida!..

Huyu shy rose hana lolote...njaa inamsumbua tu..siku zote alikuwa wapi kukemea maovu ya magamba..mi nafikiri anamaliza hasira zake baada ya kutoswa ubunge na vyeo vingine.

wadua tukubaliane kwenye kitu kimoja hapa kaona rangi nyeusi na kila mmoja anaiona ni nyeusi tukubali angalao kajaribu kumfunga paka kengele kwa kujitenga na wale wasifiao uongo.
Naami ukitarajia kitu flani kikatokea kinyume kama ni mstaarabu utaweka ukweli wazi kwa hili bila kuangalia bibie alikotokea tumsifu kwani anajua kunasiku ataulizwa KWANII ULIMWONA MZAZI WAKO YUKO UCHI HUKU SEMA?HATAKI HISTORIA IMUHUKUMU HONGERA MS

Back
Top Bottom