Jamani Watanzania mbona mmeshikilia hoja ambayo haipo. mimi kaka yangu anafanya kazi pale ubalozini.
BAE wamekubali kupitisha pesa kwenye serikali. Sasa kama mnaandika barua andikeni tu kwa ajili ya kujifurahisha. Yaani Jobu Ndugai ni mwanadiplomasia sana maana mazungumzo hayo mpaka wamesalimu amri.t
Nyie na NGOs zenu huko East London endeleeni na barua za kunywa kahawa na kujifurahisha nafsi zenu. Membe nilikuwa sijui uwezo wake lakini nimemjua kwa sababu ya suala hili. Maana hata Bungeni si cha Chadema au UDP wote wako na kauli moja. Nawapongeza sana Chadema, CUF CCM na vyama vingine maana kweli wameonyesha uzalendo wa kweli.