An Ivorian sangoma

An Ivorian sangoma

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
An Ivorian sangoma has just revealed that the chipolopolo boys had 22 players on the pitch,11 of the 22 players were invincible and the most effective,he further claimed tht when drogba was taking a penalty in normal time,a 10 man invincible wall was made jst in front of mweene and the ball was headed away by "eston mulenga"..thats the reason why mweene gave Drogba the "U cant see me" gusture..to prove this the sangoma claims to have a video of the AFCON final which he recorded with hs special cameras.Owen Muna Zifa
 
duh! hii inachekesha kweli! tunasubiri iyo video yake
 
Nmh! Sasa hao visible ones hawajawagonga invisibles?
 
ivory coast wil have many sleppless nights
 
ha ha ha haaah!! Kali aisee, wao mbona ni wachawi zaidi??
 
Hii yote ni kutafuta visingizio. Nakumbuka miaka ya tisini, baada ya Simba kufungwa na yanga Tetesi zilizagaa mtaani kuwa kia wa simba aliona mipira 80 ikielekea gorini akashindwa afuate upi
 
Du.........kali ya mwaka kumbe kila nchi ina vituko vyake.Kila wakikosea ni visingizio tu.Shame on u.
 
Sie hata kuroga tushindwe tumeshindwa.
OTIS
 
uchawi ungekuwa una apply basi kombe al dunia lingekuwa linaishi afrika...fitna tu
 
kama anaweza kujua haja,kwa nini hajageuza mambo ili yawaendee vyema
 
Ha ha ha haaa...!!! Jamaa bado wanaweweseka kukosa kombe!
 
du!!!!!!! ila bandugu tusishangae sn, hayo ni machungu ya kukosa KOMBE
 
Ka! Mpaka sangoma wa afrika magharibi anachanganyikiwa, kweli zambia kiboko.
 
Back
Top Bottom