Aiseeee
Nini kutamanishana jamani
Mimi hiyo mishikaki tu na sambusa,uwiiiiiii!
Karibuni sana.......[emoji39] [emoji39] [emoji39]Madiko Diko
Uwiiiiiii sasa hapo nitakula nini jamani? Huyo mbuzi mwenyewe kachomwa kiuchafu balaa [emoji86]Karibuni sana.......[emoji39] [emoji39] [emoji39] View attachment 507418
Vumilia tu mkuu.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwiiiiiii sasa hapo nitakula nini jamani? Huyo mbuzi mwenyewe kachomwa kiuchafu balaa [emoji86]
Period
MaweeeKaribuni sana.......[emoji39] [emoji39] [emoji39] View attachment 507418
Karibu mkuuI really miss Zanzibar [emoji28]
MmmmhKaribuni sana.......[emoji39] [emoji39] [emoji39] View attachment 507418
Kulikoni mkuu wangu....[emoji45] [emoji45]Mmmmh
Hapo mie sio muumini mkuuKulikoni mkuu wangu....[emoji45] [emoji45]
Hio ndio misosi yetu wanaume wa mikoani....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hapo mie sio muumini mkuu
HahahaHio ndio misosi yetu wanaume wa mikoani....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hiyo misosi ndio inaleta heshima ya ndoa na kuongeza upendo chumbani.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kweli kabisa, hii misosi ni weka mbali na wadada wote warembo kama wewe. Maana hata kulimega tu shughuli yake pevu, na kumeza lazima upate maumivu ya koo. Ukija kwenye kudonload movie sasa......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hapo lazima ung'ate meno na kusukuma kwa nguvu......[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Kwa mie mwanamke ni hatari kwa afya ya ndoa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji120]Kweli kabisa, hii misosi ni weka mbali na wadada wote warembo kama wewe. Maana hata kulimega tu shughuli yake pevu, na kumeza lazima upate maumivu ya koo. Ukija kwenye kudonload movie sasa......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hapo lazima ung'ate meno na kusukuma kwa nguvu......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huo ni ugali wa ulezi auKaribuni sana.......[emoji39] [emoji39] [emoji39] View attachment 507418
Ulezi, mtama na sona.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Huo ni ugali wa ulezi au
Yakhe mbona twatiana ham
Yakhee wabeseka au wabesekewaaaa???Yakhe mbona twatiana ham