mkwawa gabriel
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 100
- 23
Jamani kumbe Jeshini naako kunaubaguzi eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!wamechukua skuli 24 tu wakaongeza 3 tu zikawa 27 je zingine vp?wana sema bajeti finyo na wakati huohuo wanasema mujibu wa sheria inakuwaje mkangaiko huu?????????????je huo MUJIBU WA SHERIA NI KWA FORM SIX TUU!!!!!!!!darasa la saba na walio VYUO VIKUU na VYUO VINGINE kama wasomi wa nchiiiiiiiiii mpango huu hauwausu na je ni kwa nn?pia form 4 nao je inakaa vip?huo uzalendo kwa nchi yetu inayoendelea hii Changa tunaosema ni kwa baadhi ya watanzania au? wengine vip?
Kama la sabaaa na form 4 nao wameenda/wamehusika vp kuhusu VYUO VIKUUU NA VYUO VINGINE KAMA VYA CERTIFICATE NA DIPLOMA?
Nawasilisha hoja wana Great thinker
We have to think in positive way and wise as Great thinkers
THNKS!!!!!!!!!!!!!