Amyner!

Wazee wa chit chat mnapeana promo tu kama wakata mayenu.
 
Asnan,unanianza eh?
tena huyo mzee Bishanga tuje tuite kikao kabisa tumfunde yawezekana hakwenda jandoni ndo maana anasumbua.:sad:haiwezekani kila mgogoro unaotokea kwenye ndoa za members ye anakuwa mshitakiwa no.1 why.
 
Acha fitna,tafuta wa kwako.
Btw bishanga is very available achana na vijana.
 
Last edited by a moderator:
Meza piriton ulale!
 
I hope you keep your promise sweetheart..

Amyner u-mwanamke zaidi ya wanawake!
Wanawake wa mfano wako ni adimu sana kuwapata now dayz! (ni kama kutafuta mali kipusa)
asante sana.
Due your responding my respect .
 

mbona ya Amyner ilikua OFFICIALY SIGNED?...hii yako vip braza?
hata mhuri haina!!LOL
MWISHO:hakuna mtu mzuri kama yule anakwambia ukweli...haha!...group A ulilotaja (ambalo nami nimo) ndo ndugu na marafiki wa ukweli...kalagabaho!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…