Amyner!

hahaha Remmy yaani Kipipi ndo wa kumwambia ivo? ebu muulize ako na nani sa ivi kama sio mume wa mtu lol
Kaizer naomba umrudishe Amyner haraka na sitaki masuala ya ukaribu wa kukaa nae hadi saa hizi..
Unajua huo ushemejishemeji sio mzuri
 
Last edited by a moderator:
Ile uliyonipa nililipa deni la kanga doti kumi nilizokuwa nikopa kwa mwarabu,

kama vipi ulinipe tena hela nyingine, inawezekana ndiyo maana dada ananata kihivyooooooo.

Mamndenyi kishika uchumba tena wakati nilishakupa tangu mwaka jana?
Si tunatafuta mtoto sasa maana tumeshachoka kukaa wenyewe
 
Ile uliyonipa nililipa deni la kanga doti kumi nilizokuwa nikopa kwa mwarabu,

kama vipi ulinipe tena hela nyingine, inawezekana ndiyo maana dada ananata kihivyooooooo.
Haya mama ntakupa...siunajua nampenda sana katotoo so hata iweje lazma nikupe tu Mamndenyi wangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…