Amwagiwa Maji ya moto kwa kudai talaka

Kama mmeshindwa kukaa chini kuyamaliza matatizo yenu kiutu uzima, sio lazima kuendelea kuwa pamoja. Hao wanaochinjwa ama kukatwa viungo haianzagi siku moja. Inaanzaga na kibao, kesho ngumi mwishowe mapanga na kufa.
Kuachana ni suluhu sahihi kwa sababu mapenzi huwa hayalazimishwi
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Kwa hiyo nyie kutukera ndio "lame excuse"? Ina maana nyie huwa hamtukeri?
Ndio Maana nimekwambia Kama mmeshindwana kumaliza shida zenu kiutu uzima Kuna option ya divorce Kila mmoja shike njia yake.

Mwanaume/mwanamke mwenye hekima huepuka kitu kinamchomletea hasira na kusababisha physical violence. So Kama mtu anaongea Sana na unaona anakuletea hasira za kumpiga just leave the place, Rudi muongee Kila mtu akiwa kacool down.
Kwa wenzetu huko kibao tu unatiwa ndani hakuna excuse ya kumpiga mtu
 
This is Africa, and that's how we handle our own (romantic) affairs.

Bila mwanaume kuwa mkali hakuna familia imara.
 
Mkuu kero za mwanamke wewe zinakudhuru nini kwenye mwili wako?
Kero za mwanamke (kama vile kuongea na mimi kwa ukali) kunaashiria kuwa ni dalili za dharau kubwa sana kwa maana mimi ndio baba wa familia.

Kuna wanaume wanakufa kwa pressure kisa kero za wanawake zao.
 
Na je wewe ukimkera mwanamke unataka afanyaje?
Mimi nikimkera mwanamke anapswa kulia machozi alafu sasa ndio ninaanza kumbembeleza "basi mke wangu nisamehe sweetheart sirudii tena mama watoto wangu" alafu ninam-busu busu kisha tunavuta shuka tuna lala.
 
Mwanamke yeyote anayependa kumpanda mwanaume kichwani hawezi kuelewa hiyo justification/statement yangu.
Hakunaga kitu Kama kumpanda mtu kichwani kwa two grown ups. You sit down and reason Kama wanandoa what's right and wrong ili Mambo yaende sawa.

Mkuu inaonekana Wewe ndo wale unataka neno Lako liwe sheria. Mkeo Hana sauti hata ya kukushauri kwenye Mambo ya familia na kufanya maamuzi kwa pamoja.
 
Mkeo Hana sauti hata ya kukushauri kwenye Mambo ya familia na kufanya maamuzi kwa pamoja.
Maamuzi ya pamoja hakuna hapa duniani mkuu. Kuna watanzania zaidi ya milioni 50 lakini maamuzi yanafanywa na wabunge ambao hawazidi 300 tu.

UN ina wanachama zaidi ya 190 lakini wanaopiga kura turufu wapo 5 tu.

Sasa hiyo dhana ya maamuzi ya pamoja inatoka wapi hapa duniani mkuu?
 
Hakunaga kitu Kama kumpanda mtu kichwani kwa two grown ups. You sit down and reason Kama wanandoa what's right and wrong ili Mambo yaende sawa.
Kukaa chini na kuzungumza (Diplomacy) ni jambo jema sana katika familia, ila diplomasia isipozaa matunda ni lazima hatua za kijeshi zichukuliwe mkuu
 
Back
Top Bottom