Amvamia mkewe hospitalini na kufanya mapenzi

Amvamia mkewe hospitalini na kufanya mapenzi

Natamani wajuzi wa sheria waje watuambie ,kibongobongo hii inakuwaje ,
kwakweli " sijui sheria" lakini kufanya mapenzi tu kwenye kada mnasi" ni makosa" achilia mbali kufanya na mgonjwa"aliyeko hospital akiwa anaendelea na matibabu" pia hospital sio sehemu ya faragha" inayofaa kufanyia mambo hayo""...
hahaaaaa.

NGOJA TUWA SUBIRI WANASHERIA
 
Jamaa si nzima au mila zinatofautiana. Amchukue basi mkewe maana amepona.
 
Kuna mahubiri flani niliyapata kwenye whatsapp (a short clip), Yule mchungaji akawa anasema kuna wamama wameolewa na vichaa yaani leo hii wakipelekwa milembe daktari atawauliza hao wamama, uliwezaje kuishi na mtu kichaa namna hii kwa miaka yote hiyo.

Sasa mtu ambaye jana staha na subira kiasi cha kutaka ku.to.mba.na wodini kama kwamba vile hajawahi ku.to.mba huyo wala sio wa kusemeshana nae, milembe moja kwa moja. Hata kama alikuwa kalewa.....

Kweli wanawake wanavumilia mengi.... Skazi akiwa nyumbani huwa anambaka mara kwa mara....
 
Tuache kudanganyana jamani, sasa ni mwendo wa kidigitali hivyo tunataka picha za uthibitisho wa huyo jamaa akiwa kitandani kamlalia mkewe na pia dushe lake lipigwe picha ili tujuwe kama ni kweli alikuwa mwanamme.
 
Back
Top Bottom