Amuua mkewe kisa kuchati kwenye simu na mchepuko

Amuua mkewe kisa kuchati kwenye simu na mchepuko

Mwanamke kama umemchoka mwanaume unaweza kuondoka hata bila hiyo talaka, kusema unasubiri talaka ni excuse tu, ila mwenye nia ya kuondoka mbona anaondoka tu
 
Mwanamke kama umemchoka mwanaume unaweza kuondoka hata bila hiyo talaka, kusema unasubiri talaka ni excuse tu, ila mwenye nia ya kuondoka mbona anaondoka tu
maneno yako,yana harufu mbaya sana juu uharibifu wa mazingira
 
Kweli, huwa nina utamaduni wa kufanya mazoezi kuna mtu unakutana naye mpaka unamuonea huruma anakuwa anafanya tu si kwa passion bali kutimiza ushauri wa daktari.
Hii ni mbaya sana ma waathirika wakubwa wa hili white job workers ambao unakuta ofisini muda wote kakaa na muda wa kurudi nyumbani anatumia gari mpaka nyumbani kwake. Misuri haikutani na kashkashi ya kujikunja na kujijunjua na kutoka jasho. Tunaambiwa it is worth to walk on foot for an hour in a day than sitting the whole day.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jirani yangu NJILE njoo uone hii kitu.
Unamdharau mumeo kisa siku hizi ana sukari na pressure jogooo hapandi mtungi kwa sana.
Tumeshakuonya tabia yako ya kuchat na wanaume hata mbele ya mumeo hadi juzi mumeo kakunyang'anya simu akafuta contacts zako zote.
Njileeee Njileeee I wish ungekuwa unaijua JF ungepita hapa usome hii kitu, na wewe ungejirekebisha. Acha dharau kwa mumeo na kuendekeza wanaume wa nje tena hadharani.
Ulimtengea mumeo chakula bila kijiko, anakwambia kijiko kiko wapi wewe hata husikii unachat tu hapo dinning, hadi akachukia akaenda zake chumbani, baadae ndio unastuka, "hivi baba fulani yuko wapi?", mbona hajala, mdogo wako" akakuambia si amekuomba kijiko muda mrefu weee unachat tu...."
Aiseee njile uache hii tabia ..huko uliko
 
Write your reply...daaah aiseee ila huwa inaumaa mtu unashinda kutwa kutafta then unakuta mtu anakudharau.
acheni tu wajae singlemum.
aklichokosea bwana fundi" nikukataa kumpa talaka mkewe" mwanamke anapokwambia umuache huwa hana tena upendo na wewe hata robo "... bwana fundi akakaidi agizo matokeo yake jela imemuita
 
maneno yako,yana harufu mbaya sana juu uharibifu wa mazingira
kwahyo suggestion yako ni kwamba hata kama wamechokana waendelee tu kuishi mwisho watoeni roho kama hivyo? ndo harufu nzuri kwako?
 
Enyi wanaume tusiwekeze mioyo yetu kwenye mapenzi.

Enzi za kupigana naona zimekuwa Analogy; Kidigitali ni kujiua au kumuua mhusika.
 
Back
Top Bottom