Amuua mkewe kisa kuchati kwenye simu na mchepuko

Kweli kabisa jamaa alikuwa mchovu sana financially.

Marehemu alikuwa mwalimu wa shule ya msingi jamaa mjasiriamali wa kuungaunga tu.

Demu alikuwa anamuwezesha jamaa mpaka alipochoka na kuamua wamwagane.

Ila jamaa alikuwa king'ang'anizi kutoa talaka hataki mwisho wa siku ndo kaishia kuua.
Duuuuh!! Walimu nao wana mioyo migumu jamani.

Cc Evelyn Salt
 
Si angetoa talaka tu, unamganda mtu hakutaki!!! Shwain na nusu.
 
Jirani yangu NJILE njoo uone hii kitu.
Unamdharau mumeo kisa siku hizi ana sukari na pressure jogooo hapandi mtungi kwa sana.
Tumeshakuonya tabia yako ya kuchat na wanaume hata mbele ya mumeo hadi juzi mumeo kakunyang'anya simu akafuta contacts zako zote.
Njileeee Njileeee I wish ungekuwa unaijua JF ungepita hapa usome hii kitu, na wewe ungejirekebisha. Acha dharau kwa mumeo na kuendekeza wanaume wa nje tena hadharani.
Ulimtengea mumeo chakula bila kijiko, anakwambia kijiko kiko wapi wewe hata husikii unachat tu hapo dinning, hadi akachukia akaenda zake chumbani, baadae ndio unastuka, "hivi baba fulani yuko wapi?", mbona hajala, mdogo wako" akakuambia si amekuomba kijiko muda mrefu weee unachat tu...."

😀😀😀😀
 
Mwanamke kama hakutaki ana dalili nyingi,lakini akitamka umuache fanya haraka
Huyo fundi mchundo anakwenda kunyongwa kwa ubishi wake,dalili alishaoneshwa lakini akajifanya hajui kuacha,anajua kuoa tu

Hakuna kunyongwa wala kifungo cha maisha. Hapo kuna kuprovoke. Miaka 15 tu jamaa anarudi mark ma words.
 
Mke akiomba talaka...mpe
Mume skikuchoka....ondoka
Achaneni kwa amani kuna wengi wanatafuta wenza
 
Jirani yangu NJILE njoo uone hii kitu.
Unamdharau mumeo kisa siku hizi ana sukari na pressure jogooo hapandi mtungi kwa sana.
Tumeshakuonya tabia yako ya kuchat na wanaume hata mbele ya mumeo hadi juzi mumeo kakunyang'anya simu akafuta contacts zako zote.
Njileeee Njileeee I wish ungekuwa unaijua JF ungepita hapa usome hii kitu, na wewe ungejirekebisha. Acha dharau kwa mumeo na kuendekeza wanaume wa nje tena hadharani.
Ulimtengea mumeo chakula bila kijiko, anakwambia kijiko kiko wapi wewe hata husikii unachat tu hapo dinning, hadi akachukia akaenda zake chumbani, baadae ndio unastuka, "hivi baba fulani yuko wapi?", mbona hajala, mdogo wako" akakuambia si amekuomba kijiko muda mrefu weee unachat tu...."
Duh, hii mbona imekaa kama tukio halisi?
 
Dah naona umeandika kwa uchungu sana. Huyo mwanamke asije akamfanya jamaa achukue maamuzi magumu, kwani alivyoapa kuwa atakuwa na mumewe katika shida na raha alijua shida ni pale mzee anapokosa hela ya kulisha familia tu?
Yaani ana bahati ningekuwa mimi ndio mumewe ningeivunjilia mbali hiyo simu na kuitupa laini yake sheinzyy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu. Tatizo la watanzania wengi wanaanza mazoezi wakishapata matatizo na kushauriwa naadaktari. Tujenge utamaduni wa kufanya physical body exercise hata mara tatu kwa wiki itasaidia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli, huwa nina utamaduni wa kufanya mazoezi kuna mtu unakutana naye mpaka unamuonea huruma anakuwa anafanya tu si kwa passion bali kutimiza ushauri wa daktari.
 
Back
Top Bottom