Amuua mkewe kisa kuchati kwenye simu na mchepuko

Amuua mkewe kisa kuchati kwenye simu na mchepuko

Jirani yangu NJILE njoo uone hii kitu.
Unamdharau mumeo kisa siku hizi ana sukari na pressure jogooo hapandi mtungi kwa sana.
Tumeshakuonya tabia yako ya kuchat na wanaume hata mbele ya mumeo hadi juzi mumeo kakunyang'anya simu akafuta contacts zako zote.
Njileeee Njileeee I wish ungekuwa unaijua JF ungepita hapa usome hii kitu, na wewe ungejirekebisha. Acha dharau kwa mumeo na kuendekeza wanaume wa nje tena hadharani.
Ulimtengea mumeo chakula bila kijiko, anakwambia kijiko kiko wapi wewe hata husikii unachat tu hapo dinning, hadi akachukia akaenda zake chumbani, baadae ndio unastuka, "hivi baba fulani yuko wapi?", mbona hajala, mdogo wako" akakuambia si amekuomba kijiko muda mrefu weee unachat tu...."
Kumbe Njile kaolewa. Nimekoma simbanjui tena wallah
 
Kweli kabisa jamaa alikuwa mchovu sana financially.

Marehemu alikuwa mwalimu wa shule ya msingi jamaa mjasiriamali wa kuungaunga tu.

Demu alikuwa anamuwezesha jamaa mpaka alipochoka na kuamua wamwagane.

Ila jamaa alikuwa king'ang'anizi kutoa talaka hataki mwisho wa siku ndo kaishia kuua.
Uue mke kisa wivu wa mapenzi!! Huu ujinga ni kwa wanaume suruali tu
 
Shetani anazidi kuteka roho zetu kwa matendo yake. Kuzini dhambi, kusaliti dhambi na kuua dhambi. Zote hizi ni dhambi
 
Mwanamke kama hakutaki ana dalili nyingi,lakini akitamka umuache fanya haraka
Huyo fundi mchundo anakwenda kunyongwa kwa ubishi wake,dalili alishaoneshwa lakini akajifanya hajui kuacha,anajua kuoa tu
 
Back
Top Bottom