Amuua mama mkwe ndotoni

Amuua mama mkwe ndotoni

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,467
Reaction score
2,760
Kenneth Parks, mkazi wa Ontario, Kanada, alimuua mama mkwe wake akiwa amelala.

Kenneth alikuwa na historia ya kufanya vitendo akiwa amelala (sleepwalking).

Siku ya tukio, aliamka kitandani akiwa amelala, akawasha gari lake na kuendesha kilomita 22 hadi nyumbani kwa mama mkwe wake. Kisha akaingia ndani ya nyumba na kuanza kumpiga na kumchoma kwa kitu chenye ncha kali hadi akafariki.

Baada ya kumuua mama mkwe wake na kumjeruhi baba mkwe wake, Kenneth alipata fahamu na kwenda kujisalimisha kituo cha polisi.

Aliposhitakiwa kwa mauaji, wanasheria na wataalamu kutoka nchi 35 wanaobobea katika visa vya kulala wakiwa wamefumbuliwa macho walifanikiwa kuishawishi Mahakama ya Rufaa ya Ontario kwamba Kenneth alimuua mama mkwe wake bila kukusudia.

Kenneth aliachiwa huru.

===

TORONTO (AP) _ A man who said he was sleepwalking when he drove 14 miles to his mother-in- law’s house and killed her was found innocent of murder charges.

Kenneth Parks, 24, was acquitted by an Ontario Supreme Court jury of killing Barbara Woods, 42.

Parks is still charged with the attempted murder of his father-in-law, Denis Woods, and remained in custody today.

Prosecutors said Park’s defense was ludicrous.

Parks, of Pickering, Ontario, was charged with second-degree murder in the beating and stabbing death of his mother-in-law.

Mrs. Woods was struck with a tire iron and stabbed four times and died in bed in her suburban Scarborough home on May 24, 1987. Her husband, who was choked and stabbed, recovered from his wounds and testified that he never saw his assailant.

Defense attorney Marlys Edwardh said that on the night of the killing, Parks ''plunged into a deep, deep sleep. His next memory is seeing his mother- in-law’s face.’'

The attorney said he then regained consciousness, fled the house and drove to a nearby police station.

Staff Sgt. Bob Adair of the Toronto police homicide squad testified Parks said he had no idea how he got to his in-laws’ home and told officers he had no reason to harm them.

Testimony indicated Parks, married to the Woods’ daughter, Karen, was under pressure from gambling debts.

Ms. Edwardh said psychiatric evidence indicated that Parks was sleepwalking at the time of the killing.

She said Parks had a history of sleepwalking and asked the jury to acquit him because he was in ''a sleep-state in which ... there is no will or conscious mind directing (the activity).’'

The jury did so Thursday after nine hours of deliberation.

According to testimony, there are about 35 documented cases worldwide of homicides committed during sleepwalking.

Crown attorney Cathy Mocha argued Parks must have known what he was doing, but may have blocked ''the very terrible events’’ from his mind.

Source AP
 
Chanz
Kenneth Parks, mkazi wa Ontario, Kanada, alimuua mama mkwe wake akiwa amelala.
Kenneth alikuwa na historia ya kufanya vitendo akiwa amelala (sleepwalking).
Siku ya tukio, aliamka kitandani akiwa amelala, akawasha gari lake na kuendesha kilomita 22 hadi nyumbani kwa mama mkwe wake. Kisha akaingia ndani ya nyumba na kuanza kumpiga na kumchoma kwa kitu chenye ncha kali hadi akafariki.
Baada ya kumuua mama mkwe wake na kumjeruhi baba mkwe wake, Kenneth alipata fahamu na kwenda kujisalimisha kituo cha polisi.
Aliposhitakiwa kwa mauaji, wanasheria na wataalamu kutoka nchi 35 wanaobobea katika visa vya kulala wakiwa wamefumbuliwa macho walifanikiwa kuishawishi Mahakama ya Rufaa ya Ontario kwamba Kenneth alimuua mama mkwe wake bila kukusudia.
Kenneth aliachiwa huru.
Chanzo Cha habari?!
 
Da

!!!
Chanz

Chanzo Cha habari?!
hamna cha chanzo cha habari,,dunua hii ina mbo mengi,,wewe chukulia kama shule!!!!,,,wewew hjawi ona m2 anaamka usingizini anaenda sebuleni ukimfuatilia hana lolote analofanya za idi ya kuzungukazunguka tu!!!! au wewe mwenyewe hauajawi ona mtu anazungumza akiwa usingizini?
 
Ni aina ya msukule, sio ndoto. Huo ni uchawi unaofanya utumike ukiwa umelala, hujitambui. Ni kama wale wanaoenda kulimishwa mashambani.
Kwa wasiojua wanasema ndoto, hasa huko wasikoamini kama kuna uchawi
 
Sio chai mkuu walkuwa wanamfuata kimyakmya bila kumwamsha, akifika alkuwa anaokota chochote sokon then anarudi hom analala. Lakin asubuh wakimuuliza anakataa kwamba hamwatetei nda huko.
Hii ni kweli.

Mimi nimesumbuliwa sana na hii hali utotoni.

Mimi nlikuwa naamka naenda dukani na nikiambiwa asubuh jana uliamka ukaenda dukani nakataa kabisa.
 
Hii ni kweli.

Mimi nimesumbuliwa sana na hii hali utotoni.

Mimi nlikuwa naamka naenda dukani na nikiambiwa asubuh jana uliamka ukaenda dukani nakataa kabisa.
Duh kuna watu hawaamini
 
Duh kuna watu hawaamini
Hii hali hipo kwa baadhi ya watu.

Imeniondoka ukubwani tu ila utotoni imenisumbua sana.

Nna braza wangu yeye mpaka leo ana tabia ya kuamka usiku anakaa ktandani anaongea halafu analala na ukimuambia asubuhi uliamaka ukakaa ktandani anakataa kabisa.
 
Ndio kuna wengine wanaamka wanakupa hela asubuhi hakumbuki kabisa huyo ndio hatari zaidi
 
Back
Top Bottom