Amuua mama mkwe ndotoni

Amuua mama mkwe ndotoni

Mambo haya ni magumu sana mpaka anaendesha gari, ni kwamba alikuwa ana kisasi huko ukweni maana kichwani na moyoni mambo mengi yanapita,😁
Kuna watu wanaota ndoto kwa kutumia miili yao halisi, yaani anachokiota ndicho anachokifanya laivu, lakini wengine sisi tunaota ndoto spiritually
 
Mimi kwenye ndoto za utotoni hadi nafika darasa la4 nilikuwa nikiota mfano naoga moja kwa moja fahamu zinakuja nitakapojitupia bwawani maana bwawa letu lilikuwa kama mita 250 tu kutoka nyumbani.

Nilikuwa naweza kuamka na kutembea nikiwa usingizini. Kitendo cha kujibwaga majini ndo kilikuwa kinaniasha na nitarudi salama salimini.
 
Nimekumbuka boarding kuna jamaa alikuwa na kawaida ya kuamka usiku anaaza safari zisizoeleweka inabidi tumuamshe.

Kuna siku alitoka speed anaenda stand ya basi ikabidi tumfuate nyuma nyuma.
 
Back
Top Bottom