Amua kubadilika

Amua kubadilika

Bongo Venture

New Member
Joined
Jan 5, 2016
Posts
1
Reaction score
0
"There are two primary choices in life: to accept conditions as they exist, or accept the responsibility for changing them." – Denis Waitley

Katika maisha, mazingiara, biashara n.k kuna mambo mengi hua yanajitokeza, au tunajikuta tumeingia.

Hali inapokua haimpendezi mwanadamu anakua katika hali ya kufanya maamuzi na kuchukua hatua kuhusiana na hali hiyo.

Moja kuridhika na kilichotokea au pili kuamua kuchukua hatua ya kuanza kubadilisha mazingira au hali iwe kama anavyotaka iwe.

Kuchukua hatua huku kunanza na kuchukua hatua juu ya aina ya mtazamo ambao anatakiwa kuwa nao kuhusiana na jambo hilo.
 

Attachments

  • jukwaa la sheria ad.jpg
    jukwaa la sheria ad.jpg
    264.2 KB · Views: 58
Back
Top Bottom