Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,268
Unaweza ukadhani hii ni utani hivyo ingeenda jukwaa la utani lakini nimeileta hapa kwa makusudi ili tuweze kumsaidia kijana ambaye amefukuzwa kwao na baba yake mzazi kisa amekuwa mfuasi wa CHADEMA na sasa anatanga na njia na jitihada zinaendelea kumshawishi baba amrudishe mwanae nyumbani.
Hii imetokea maeneo ya Mwananyamala kwa Msisiri Dar es Salaam na baba huyo ni kada na mjumbe wa nyumba kumi kwa tiketi ya CCM.
Hii imetokea maeneo ya Mwananyamala kwa Msisiri Dar es Salaam na baba huyo ni kada na mjumbe wa nyumba kumi kwa tiketi ya CCM.