Yaani wazee wote wangekuwa kama huyo mzee hii nchi ingenyooka mara moja.
Bavicha wengi 85% ni kula kulala, ndo maana any time wapo available and ready kuleta vurugu. Unaleta ujuaji hapa, tafuta kwako.
Bravo mzee
we mshabikie mzee wa watu siku akianza kutembea na magongo ndiyo atajua dhamani ya mwanae. Chama inampatia nini au noi sehemu ya ufisadi. Mimi kama kijana namfikisha mbele ya pilato ilituheshimiane
wazee wengine sijui wakoje?
Ebu pima ya ben kama amediriki mbele ya kadamnasi kusema malofa na wapumbavu mwanae nyumbani inakuwaje?
lazima atakua ameahidiwa donge nonosasa kama wazee wasomi kama ben anatoa matusi na ameshindwa kulinda heshima yake,kama rais aliyejitahidi kidogo.huyu balozi si ndiyo atakuwa ........... Zaidi ya wasomi! Maana anategemea hongo ya diwani.
Yaani wazee wote wangekuwa kama huyo mzee hii nchi ingenyooka mara moja.
Bavicha wengi 85% ni kula kulala, ndo maana any time wapo available and ready kuleta vurugu. Unaleta ujuaji hapa, tafuta kwako.
Bravo mzee
[/B][/COLOR]
hapo red kuna mushkeli kidogo
akila bure anakua hana haki eh?