Amtimua mwanae nyumbani kwa kushabikia CHADEMA

Amtimua mwanae nyumbani kwa kushabikia CHADEMA

Yaani wazee wote wangekuwa kama huyo mzee hii nchi ingenyooka mara moja.

Bavicha wengi 85% ni kula kulala, ndo maana any time wapo available and ready kuleta vurugu. Unaleta ujuaji hapa, tafuta kwako.

Bravo mzee

Hahahahaha
 
yeye angekua mpole aombe msamaha tu..alafu angempeleka mzee wake beyond expectations kwa kumfichia kad ya kura ili yeye ndo asipigie masisiem...
 
Back
Top Bottom