Amsterdam & Partners LLP Retained by Tanzanian Political Prisoner Freeman Mbowe

'Mimi na Magufuli ni wamoja'
Tatizo la Samia lilianzia hapa
 
Huyu wakili ana connections sio za kitoto na atasababisha hii case iende viral internationally.

Matokeo ni kuaibika kwa serikali,hiyo branding anayofanya Rais itakuwa kazi bure.

Ndio maana mama anahangaika kuonana na Biden na nasikia jamaa anachomoa maana serikali inanuka udharimu.
 
Sioni Amsterdam akifanya lolote la maana kwenye kesi hii. Kesi huwa haiamuliwi kwa sababu una wakili ambaye anaweza kupiga kelele sana. Itaamuliwa kwa kufuata ushahidi usiokuwa na mashaka. Ikumbukwe kwamba yoyote atakayeshindwa bado ana nafasi ya kukata rufaa Mahakama kuu. Sasa huyo Amsterdam yupo tayari kukaa na mteja wake kwa wakati wote wa hii kesi au ndio ile wanaita jamba jamba? Muda utatuambia tunaikodolea macho tuone kinachojiri.

BTW Freeman ameweza kuwa mwenyekiti tangu Chadema ilipoanza na sasa ndio mwisho au la? Kaa mkao wa kula na ''asiye na mwana aeleke jiwe.''
 

Mkiwa na rais ambaye hajitambui ana mawazo kwamba na yeye yumo wakati hayumo.

 
22 September 2021

Freeman Mbowe - Robert Amsterdam | The Exclusive Interview-Geopolitical, Democracy, and Human Rights


America Swahili News hosts Robert Amsterdam. Please Listen this interview and make comment.
Source : America Swahili News
 
Huwa haogopi jela kwa sababu havunji sheria
 
Huyu ni mjinga mwingine hapa duniani.Wakati wa uchaguzi uliopita alibwabwaja sana na matokeo hayakuonekana.Ni mpuuzi kama wale wengine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…