Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Naona watu wamemgomea brother kuandamana.
Mtaji wa mwanasiasa yoyote ni watu kitu ambacho Tundu hana. Angekua nao sasa hivi tungekua tunatuma maombi ya kuombea nchi

Anzeni upya kwa kutengeneza misingi mizuri kutoka chini sio unaamua ndani ya miezi 3 uwe Rais na utegemee sapoti kubwa kutoka kwa watu ambao haukua nao ukitegemea watu wa mitandao wanaokupamba na hujui Kama wapo kweli
Lissu kapigwa kiuhalali kabisa ndo mana hawez pata suuport ya maandamano, vituo vingine kapata 0, nachojua CCM wamechakachua baadh ya majimbo Kwa ajil ya ubunge lakn uraisi hata wakirudia leo Lissu anagaragazwa Tu bado yaan kapigwa hasa.
 
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadirifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
Huyu nadiye aliyesababisha TAL akaangukia pua.
 
Naona watu wamemgomea brother kuandamana.
Mtaji wa mwanasiasa yoyote ni watu kitu ambacho Tundu hana. Angekua nao sasa hivi tungekua tunatuma maombi ya kuombea nchi

Anzeni upya kwa kutengeneza misingi mizuri kutoka chini sio unaamua ndani ya miezi 3 uwe Rais na utegemee sapoti kubwa kutoka kwa watu ambao haukua nao ukitegemea watu wa mitandao wanaokupamba na hujui Kama wapo kweli
Upinzani usio na misingi kwa wananchi sio upinzani ila matumizi mabaya ya demokrasia.

Kuanzia 2015 hadi hii 2020 Tanzania hakuna chama pinzani ila kuna watu wanaotumia mgongo wa upinzani kufanya yao
 
Lisu kaisababishia hasara kubwa sana.

CHADEMA itakumbwa na ukata mkubwa maana hakuna ruzuku,

Yani mtifuano utakaotokea hapo chadema si wa kitoto
Wafuasi wao watawachangia tu,kuhusu hilo wala usiwe na wasiwasi,jukumu lao litakuwa ni kutoa namba tu.😂😂😂
 
Yaan mfanya biashara (beberu) wa nje aombe jumuia ya mdola ishughulikie Tz. Wenye akina Lissu wamelala wanaogopa chuma kinavo uma. maneno mengi mitandaono! Ndoto za mchana!!
 
Naona watu wamemgomea brother kuandamana.
Mtaji wa mwanasiasa yoyote ni watu kitu ambacho Tundu hana. Angekua nao sasa hivi tungekua tunatuma maombi ya kuombea nchi

Anzeni upya kwa kutengeneza misingi mizuri kutoka chini sio unaamua ndani ya miezi 3 uwe Rais na utegemee sapoti kubwa kutoka kwa watu ambao haukua nao ukitegemea watu wa mitandao wanaokupamba na hujui Kama wapo kweli
Internet imebakwa mama we we, mnajiorganize vipi?
 
..........
Anzeni upya kwa kutengeneza misingi mizuri kutoka chini sio unaamua ndani ya miezi 3 uwe Rais na utegemee sapoti kubwa kutoka kwa watu ambao haukua nao ukitegemea watu wa mitandao wanaokupamba na hujui Kama wapo kweli
wataanza vipi wakati. shughuli za kisiasa zinaenda kupigwa marufuku. Umesahau hapa kazi tu!
 
Huyu ajax Amsterdam anatetea maslahi ya lissu?, Chadema?, Au Tanzania maana hasikiki akizungumzia inshu za maalim seif au ndo muda wa Kila mtu ale size yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom