ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,019
- 7,223
Humu mitandaoni mtu mmoja anaweza kupiga kelele utadhani watu 1000! Halafu hapigi kura.Naona watu wamemgomea brother kuandamana.
Mtaji wa mwanasiasa yoyote ni watu kitu ambacho tundu hana. Angekua nao sasa hivi tungekua tunatuma maombi ya kuombea nchi🤔
Anzeni upya kwa kutengeneza misingi mizuri kutoka chini sio unaamua ndani ya miezi 3 uwe Rais na utegemee sapoti kubwa kutoka kwa watu ambao haukua nao ukitegemea watu wa mitandao wanaokupamba na hujui Kama wapo kweli🥺🥺