Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Kwanini aende kwa lawyer mzungu, wazungu tunawajua hata kwenye historia imeandikwa bhana.. unaona huyo mzungu ndo ana uzalendo sana na nchi yako eeh..
Lakini si umeona? Hajaguswa hata kidogo, mkimgusa tu mkumbuke mtarudi kule kule kwa sukari ya foleni, unga wa muhogo nk.
Kibri imewajaa nyie kwa sababu when you beg you are given, this time you gonna beg and nobody will give, beleve my word. Touch Lisu and see what the western will react, China will stay aside, they know you are cowards, jian dan nao dai
 
Personal secretary wa Nyerere alikuwa mzungu hadi anakufa kafia Tanzania. President wa Zambia alikuwa mzungu.

you once upon a time said you are a masters what did you read and research ?
Kwa sasa hivi hatuwahitaji. Wazawa wapo wengi tu wa kutosha wenye taaluma. Zama zimebadilika mkuu
 
🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Inabidi tumwombe Gwajima azungumze na Mungu juu ya huyu Amsterdam amfute katika ulimwengu wa uana sheria kabisa
Keshamfutaa, toka kwenye kutoa matamko kwa serikali ya Tanzania hadi kutoa matamko kwa Vodacom na airtel😂😂😂
Watanzania wameshampuuza yeye na vibaraka wake, na bado kidogo atapotea na kusahaulika kabisa
 
Hebu jaribuni.
Iraq ilichukuliwa baada ya siku 23, na ujue jeshi la Iraq lilikuwa miaka 200 zaidi ya Tanzania (Yaani itaichukua Tanzania ya leo kufikia jeshi la Iraq la wakati ule, na miaka 1000 kufikia la marekani)
Libya ilikuwa siku 15 kwisha

I bet Tanzania itachkua siku tatu kuwaning'iniza na kumchkua bwana yule

Msiseme hamkuambiwa, hvyo vifuu vyenu vya kichina sijui vitatu!! haaaa, ohhh ndge ziko tat
Kwa hiyo unataka Tanzania ipitie hayo waliyopitia Iraq na Libya, haya sema wamefaidika nini hasa.
 
Lakini si umeona? Hajaguswa hata kidogo, mkimgusa tu mkumbuke mtarudi kule kule kwa sukari ya foleni, unga wa muhogo nk.
Kibri imewajaa nyie kwa sababu when you beg you are given, this time you gonna beg and nobody will give, beleve my word. Touch Lisu and see what the western will react, China will stay aside, they know you are cowards, jian dan nao dai
Lisu hatutamtouch tunakusubiri wewe ambaye hujielewi uje barabarani, na uzuri mwenyewe unajua hutaenda kuandamana kwahiyo em tune in uangalie cheti cha ushindi kinakabidhiwa huku mubashara. Nyie ndio wale waandamanaji wa nyuma ya keyboard alaf hata kura kumbe hukwenda kupiga 😂
 
Hicho ni Cheti cha Damu, iliyomwagika kwa tamaa ya JPM, only a matter of time he will be praying and begging mercy below the caravat like Gadafi
 
Hicho ni Cheti cha Damu, iliyomwagika kwa tamaa ya JPM, only a matter of time he will be praying and begging mercy below the caravat like Gadafi
Wewe uko nje ya Tanzania nin?!!, naona unapenda sana machafuko yaliyotokea Libya yatokee na huku, kama upo hapa hapa Tanzania basi hauwezi ukawa serious na unayoyaongea. Au niambie walichofaidika Libya baada ya kufanya machafuko yako pendwa.
 
Huyu jamaa mm ningekuwa nimesomea sheria ninge deal naye mwenyewe. Maana inaonyesha elimu yake ni ndogo mnoo, lkn anajidai kwelikweli.
Udogo wa elimu yake unaupimaje na ww unakiri kabisa hujasomea sheria? Au unaipima kwa kulinganisha na elimu yako?
 
Kwa hiyo unataka Tanzania ipitie hayo waliyopitia Iraq na Libya, haya sema wamefaidika nini hasa.
Kwani wewe unafaidika nini kunitesa mimi na watu wengine kama kupokonya haki ya Lisu kuwa Rais?? Wewe unatumia majeshi ya akina Sirro IGP na JWTZ unafurahi, na kufaidika. Mimi nitafaidika kama watakutoa na kukufundisha adabu kwa sababu umenionea. You cannot reason how I will benefit? You are benefiting out of using IGP Siro and JWTZ; that is the same way I can benefit if I use those big guys. Stupid cant
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom