AMSHA AMSHA YA MAGUFULI Dar

AMSHA AMSHA YA MAGUFULI Dar

Magufuli tayari Rais ila kwwnye anga la Kimataifa na Busara na uvumilivu wa kiuongoz anapaswa kujifunza mengi sana kwa Jk otherwise kuna tatizo mbele ya safari
 
12140859_906887576044649_7528216974925522318_o.jpg
 
dunia inawashangaa jinsi ccm na wafuasi wao wanavyojitekenya na kujichekesha.

"tumeanza kuwashughulikia mafisadi, wakati anayetangaza nae ni top kwenye hiyo list"

"mafisadi wameanza kukimbia CCM, wakati karibu robo tatu ya mafisadi waliotokea ktk orodha ya aibu watakuwa wakishika maiki kuipigia chapuo CCM na ili aingie ikulu jpili"

Kashfa kubwa ya kifisadi ya RICHMOND aliyobebeshwa LOWASSA imebaki CCM na CCM wanaendelea kuilipa hiyo kampuni , huku wakulaumu kuwa ni ya kifisadi.
 
Back
Top Bottom