Amrish Puli

Amrish Puli

Rawasen

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
181
Reaction score
73
Wale Wakongwe Wenzangu Hasa Miaka Ya 80-90 Nadhani Huyu Mtu Mnamkumbuka Vizuri Jinsi Alivokua Kivutio Kwenye Sinema Za India Kama Ile Ya Tazan
Rest In Peace Kubwa La Maadui
 
Mtazame kwenye LOHA utajua khabari zake humo hupo dharmendra na shatrugansinha pamoja na mtoto wa kapoor
 
Wale Wakongwe Wenzangu Hasa Miaka Ya 80-90 Nadhani Huyu Mtu Mnamkumbuka Vizuri Jinsi Alivokua Kivutio Kwenye Sinema Za India Kama Ile Ya Tazan
Rest In Peace Kubwa La Maadui

Mkuu Amrish Puri hayumo kwenye muvi ya Tarzan.zifuatazo ni bahadhi ya muvi alizocheza:-
1:Loha
2:Shahenshar
3:Tridev
4:mr india
5:Ghayar
6:kuna muvi moja ya sunjay duty anafunga mafungu 3 kwenye kitambaa afu anavaa shingoni,nani anakumbuka jina la hii muvi?
7:andha kanoon

Mimi ni shabiki mkubwa wa muvi za kihindi hasa wale waigizaji wa kizamani kama.
1:hema malini
2:amitha bachchan
3:Govinda
4:Sunny deol
5:mithun chakraboty
6😀hramendra
7:Shartghasinha
8😀anny Denzompa
9:Kiran kumar"cobra"
10:vinod khan
11:Amjad khan
12:Shakt kapoor
13:Anil kapoor
14:kader khan
Na wengineo wengi tu,wadau wenye azam tv kuna chanell imeongezwa hivi karibuni inaonyesha movie za kihindi tena zile oldies
 
plan
sanjeev kumar
Asilan
Jagdeep
jackieshrof
neetu Singh
zeenat aman
 
Sri Devi
Juhi Chawla
Hema Malini
Madhuri Dixit
Tabu
Raveena Tandon
Dhivya Bhart
Karishma Kapoor
Karisma kapoor
Rani Mukherj
Manisha koirala
Dimple kapadia
.........
 
Asante Mkuu Kwa Muongozo
 
Sri Devi
Juhi Chawla
Hema Malini
Madhuri Dixit
Tabu
Raveena Tandon
Dhivya Bhart
Karishma Kapoor
Karisma kapoor
Rani Mukherj
Manisha koirala
Dimple kapadia
.........

Hawa wote kiboko yao ni kanumba tu.
 
Wale Wakongwe Wenzangu Hasa Miaka Ya 80-90 Nadhani Huyu Mtu Mnamkumbuka Vizuri Jinsi Alivokua Kivutio Kwenye Sinema Za India Kama Ile Ya Tazan
Rest In Peace Kubwa La Maadui

Hakuwa kwenye Tarzan huyo

tulikuwa tunamwita Ashanti
 
Hukumbuka sana filamu hizi
Ganga jamunaa salaswati
sholey
kasampaida karne walek
Shani
Naseeb humo yupo kiwete anaitwa abdul
ghazaab
 
Hukumbuka sana filamu hizi
Ganga jamunaa salaswati
sholey
kasampaida karne walek
Shani
Naseeb humo yupo kiwete anaitwa abdul
ghazaab

Daah kasampaida,mkuu umenikumbusha mbali sana.Dom makole hiyo early 90's
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom