Amrikumi kwa wapendao ofa

Amrikumi kwa wapendao ofa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
[h=2][/h][h=3]AMRI KUMI KWA WAPENDAO OFA[/h]

1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa
4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka kaunta
5. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
7. Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogomadogo
9. Usitamani mpenzi wa mtoa ofa hata kama ndie mke wako
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi

KUMBUKA……Mtoa ofa akiwa Man U na wewe Man U, akiwa Chelsea na wewe hivyo hivyo. Akiwa CCM na wewe onyesha kadi kabisa, akiwa CHADEMA onyesha kadi na katiba…kifupi uwe umejitayarisha kila wakati.
 
mpe mtoto mwenzi manoah
sie watu wazima tunazo zetu.
 
Last edited by a moderator:
sasa haya ni mauza uza gani umeyaweka hapa?
 
baba yako Bishanga ndo amekuharibu wala siyo makosa yako sana
wakulaumiwa yeye aliyekufundisha kwenda kwenye kumbi za starehe ukiwa bado mdogo.

ngoja nisubiri nikue kidogo.. ndio nitaacha eeh!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom