Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
Hata asipoongea point ya maana wewe umsifie tu.AMRI NANE (8) KWA WAPENDA OFA
1. Uwe na heshima kwa anayekununulia
2. Toa saalam kwa anayetoa ofa kabla hajaketi
3. Uwe ndio mchekeshaji wa kikao
4. Usithubutu kumkatisha kitu yeye akiwa anaongea
5. Mtoa ofa akikutuma popote pale usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki wowote yaani wewe imba ikibidi inuka uanze kucheza kabisa
7. Usinywe kwa pupa kunywa taratiiiibu
8. Mtoa ofa akitoa kichekesho kiwe cha zamani hakichekeshi wewe cheka hadi utoe machozi
ZITUMIKE IJUMAA - JUMAPILI
AseeeHiyo namba 8 ndo amri kuu.....ukiiweza hiyo unakua professional kabisa wa kugewa ofa
One lovehahahahahahahahah duuuh hapo umenitouch mkuu. salut.
Sina..Hiyo ni ya walevi, tafadhali tuwekee na amri za wazinzi maana wanakwenda sambamba.
OFA OFA teh teh umetisha mkuu, Sio unapewa lifti kwenye gari na mziki unawasha na sauti unaongeza[emoji28] [emoji28] [emoji28]AMRI NANE (8) KWA WAPENDA OFA