Watanzania hawawezi kujiorganize,watanzania wana hulka ya kuongea sana,Watanzania bado hawajapata shida ya maisha,watanzania hawawezi kuwekeana sheria ngumu katika maisha yao,watanzania wako rege rege...wako woga sana,..Kwanini Tanzania hakuna organized crimes?
Kwa hiyo bado vipodoz au hata panya road wanaweza kuwa mafiaMafia ni vikundi vya uhalifu "Organised Crime",ambavyo vina mikataba na katiba ya kujiunga katika hivyo vikundi,hivi vikundi vilianzinia Italia,...wakati wataliana wanahamia Marekani wakahamia na uhalifu wao..
Tafuta Movie inayoitwa "The Godfather" ya Marlon Brando,utafahamu vipi hivi vikundi vinafanya kazi,vipi vimeundwa nk..
Mafia kama organization nyingine kubwa za kihalifu yenye maskani yake kubwa ulaya mashariki na duniani kote wana sheria/amri ambazo kila member lazima azifuate ili kuwa member kamili nazo ni;
TEN COMMANDMENT OF MAFIA
1.Hairuhiwi kujitambulisha/kuonana na mwenzio (mafia) moja kwa moja,lazima kuwe na mtu wa tatu kati yenu atakayefanya hivyo.
2.Ni marufuku kumtizama mke wa rafiki yako(Kwa matamanio).
3.Ni marufuku kuonwa na polisi.
4.Hauruhusiwi kwenda pub na club.
5.Kupatikana muda wowote kwaajili ya kazi ni wajibu wako,hata kama mkeo anataka kujifungua.
6.Makubaliano ya kukutana (Apointment) yanatakiwa yapewe heshima ya hali ya juu.
7.Mke ni lazima uishi nae kwa heshima.
8.Ukiulizwa kuhusu taarifa zozote na wakuu wako majibu yanabidi yawe ya kweli.
9.Pesa zinazomilikiwa na familia nyingine huruhusiwi kuzitumia.
10.Watu ambao hawawezi kujiunga na kundi ni;Mtu yeyote mwenye ndugu wa karibu ambae ni polisi,Mwenye ndugu asiyeeleweka anachofanya(two-timing person),Yeyote mwenye tabia mbaya na hawezi kujiheshimu.
Mi nimependa ya 6,7&2.
Wewe je?
Sheria ipi ingekushinda?
Panya Road wanaweza kuwa Mafia wazuri sana lakini naona hakuna mtu wa kuwa Organize,kunatakiwa aweko kiongozi anaewaongoza,kuwepo na mchango wa kiasi fulani cha pesa kwa kila mwanachama analipia kikundi kwa kila uhalifu anaofanya...Kwa hiyo bado vipodoz au hata panya road wanaweza kuwa mafia
Mzee hayo unayoandika ni kama unataka kuosheana kuwa unajua kuhusu mafia. Mi naelewa system,operation,ranks etc za hao majamaa since way back labda kama unamuambia mleta mada..Mkuu,kuna katiba na mikataba,kuna mchangio wa kila mwanachma kuchangia kiwango fulani cha pesa katika kikundi chake,malipo hayo yanatafautiana vipi mwanacama analipa kutoka kikundi na kikundi mwanachama atalipa vipi
Hivi vikundi vina muundo wa serikali kuna waziri wa vita,kuna wanajeshi,kuna Rais(Godfather),kuna wauwaji "assassination squad" nk,na ndio maana vinaitwa "Organize Crime",huwezi kutoka huko uliko toka ukaingia kwenye hivi vikundi,mtu anakuwa "recruited" na watu maalumu kwa mipango maalamu,sijui habari zako unazitoa wapi..
Kwanini Tanzania hakuna organized crimes?
I cant believe this,mzee ujanielewa tu wewe,nnachosema hamna documented mafia laws,contracts,constitutions,regulations, etc.Mkuu,kuna katiba na mikataba,kuna mchangio wa kila mwanachma kuchangia kiwango fulani cha pesa katika kikundi chake,malipo hayo yanatafautiana vipi mwanacama analipa kutoka kikundi na kikundi mwanachama atalipa vipi
Hivi vikundi vina muundo wa serikali kuna waziri wa vita,kuna wanajeshi,kuna Rais(Godfather),kuna wauwaji "assassination squad" nk,na ndio maana vinaitwa "Organize Crime",huwezi kutoka huko uliko toka ukaingia kwenye hivi vikundi,mtu anakuwa "recruited" na watu maalumu kwa mipango maalamu,sijui habari zako unazitoa wapi..
hahahaha Mkuu,....."Organise crime" zote kuna "rules and law" za kujiunga katika hivyo vikundi,kuna rules and law" za kupanda cheo,vikundi vyengine cheo unapandishwa kutokana na watu wangapi umeuwa...nk,unafikiri unaweza kufikia cheo kama "Consigliere" bila ya kufanya kitendo cha kuthibitiisha kuwa wewe unaweza kuwa na cheo hicho..,.....tafakari..I cant believe this,mzee ujanielewa tu wewe,nnachosema hamna documented mafia laws,contracts,constitutions,regulations, etc.
Yani ulidhani sijui kuhusu how mafia works,mzee humu nlishatakaga hadi kuandika a very huge post but niliweka thred moja nikajua watu hawajui nikaacha wayback.
Kwa msaada tu walio interested this is the organizational structure of Mafia.
1. Capo di tutto capi (the "Boss of All Bosses")
2. Capo di Capi Re (a title of respect given to a senior or retired member, equivalent to being a member emeritus, literally, "King Boss of Bosses")
3. Capo Crimine ("Crime Boss", known as a Don - the head of a crime family)
4. Capo Bastone ("Club Head", known as the "Underboss" is second in command to the Capo Crimine)
5. Consigliere(an advisor)6. Caporegime("Regime head", a captain who commands a "crew" of around twenty or more Sgarriste or "soldiers")
7. Sgarrista or Soldato ("Soldier", made members of the Mafia who serve primarily as foot soldiers)
8. Picciotto ("Little man", a low ranking member who serves as an "enforcer")
9. Giovane D'Onore (an associate member, usjally someone not of Italian ancestry)
Italian Mafia structure Capofamiglia -
Capofamiglia - (Don/Boss)
Consigliere - (Counselor/Advisor/Right-hand man)
Sotto Capo - (Underboss/Second-in-command)
Capodecina - (Captain/Capo)
Uomini D'onore - ("Men of Honor"/Made men/Soldiers)
Hapa mzee naona hatuelewani kabisa,lets leave it here!!hahahaha Mkuu,....."Organise crime" zote kuna "rules and law" za kujiunga katika hivyo vikundi,kuna rules and law" za kupanda cheo,vikundi vyengine cheo unapandishwa kutokana na watu wangapi umeuwa...nk,unafikiri unaweza kufikia cheo kama "Consigliere" bila ya kufanya kitendo cha kuthibitiisha kuwa wewe unaweza kuwa na cheo hicho..,.....tafakari..
Hiyo Na. 1, mtu wa tatu ambaye ndiye anawaunganisha mamafia, yeye sio mafia? Mbona yeye anakutana na mafia wenzake?Mafia kama organization nyingine kubwa za kihalifu yenye maskani yake kubwa ulaya mashariki na duniani kote wana sheria/amri ambazo kila member lazima azifuate ili kuwa member kamili nazo ni;